Naomaba kuuliza jaman kungekuwa na wanaume peke yake au wanawake peke yake dunian si pangekuwaaje!
ha ha. true, mdogo wangu yuko boarding wao wanaoga wakianza kunuka.Hata wewe uliandika huu uzi usingekuwepo na wote humu jamvini pia tusingekuwepo kuchangia. Chezea wahenga wetu wewe, halaiki yote hii unayoiona imetokana na wazee wetu kushughulikia Papuchi na Papuchi kuishughulikia Dushelele bila ajizi.
Kwanza wangekuwepo wanaume tupu, ulimwengu ungekuwa unanuka vikwapa tu, maana hata haja ya kuoga na kunyoa isingekuwepo. Hahahahahaaaaaaa
Naomaba kuuliza jaman kungekuwa na wanaume peke yake au wanawake peke yake dunian si pangekuwaaje!
Hata wewe uliandika huu uzi usingekuwepo na wote humu jamvini pia tusingekuwepo kuchangia. Chezea wahenga wetu wewe, halaiki yote hii unayoiona imetokana na wazee wetu kushughulikia Papuchi na Papuchi kuishughulikia Dushelele bila ajizi.
Kwanza wangekuwepo wanaume tupu, ulimwengu ungekuwa unanuka vikwapa tu, maana hata haja ya kuoga na kunyoa isingekuwepo. Hahahahahaaaaaaa
naona unataka kuendesha tingatinga kwenye daraja la kioo.
its not religious :/.Ahahah....lianzishe tu mkuu. Picha yako unless inamaanisha Mungu ni very controversial.
unafikiria kutumia nini?Naomaba kuuliza jaman kungekuwa na wanaume peke yake au wanawake peke yake dunian si pangekuwaaje!
:sad: i meant it doesn't have religious connection/significance.Ooops...now that is worrying!!!