:sad: i meant it doesn't have religious connection/significance.
and I got even more worried!
Merrita hivi kweli huna cha kuongeza hapo?Mhhh cna neno zaid
Mbona kama nahisi harufu ya Uliberali hapa?kusingekuwa na haja hata ya kuvaa nguo!
Mkuu umeshawahi kulitumia jukwaa hilo?2ngekuwa wanawake peke yetu kusingekuwa na jf mahusiano na mapenzi!kungekuwa na urafiki tu!tehtehtehtehteh!
Bora ina jinsia mbili. Heaven on earth ningempata wapi?.
luv u babe. Mmwaaaa....!!!. mia
Ooops...now that is worrying!!!
Really its worrying.........
I ONCE asked myself what is the MOTIVE behind that AVATAR!!!!!!!!!!!!!!!!
Mdogo wangu, ndo umeangukia mikononi mwa figganigga?love you too babe........,
Mdogo wangu, ndo umeangukia mikononi mwa figganigga?
mimi dada yenu nawatakia kila la heriHuyu Heaven on earth nimemuweka kiganjani kaniweka kiganganjani. Kwangu hapindui sipindui wala hazungushi. Hatusikii wala hatuoni.Changu chake chake changu. Huyu ndo doctor wa mahaba yangu. Nampenda sana mpenzi wangu heaven toka moyoni mwangu naye anajua. Mia
Mdogo wangu, ndo umeangukia mikononi mwa figganigga?
nimeshabariki mdogo wangu na nawatakia kila la heri.......Dada angu Fixed Point,tembea yangu yote nimeangukia kwa figganigga
sijui unaweza kubariki hili pendo letu.......
Naomaba kuuliza jaman kungekuwa na wanaume peke yake au wanawake peke yake dunian si pangekuwaaje!
Sawa dada, nampenda sana naye anipenda pia. Asante. mianimeshabariki mdogo wangu na nawatakia kila la heri....... figganigga, take very good care of my lil' sis...... sawa?