abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,747
- 1,158
Kwa maandishi haya unajisikia kweli kuna kitu umechangia hapa?
Kujitangaza kwako kuwa 'chawa' kwa mtu usidhani wengine nao ni lazima wawe na mtu wa kumtegemea na kumkingia kifua hata kama hana uwezo wa uongozi. Mtu wako hafai.
Hawa jamaa washamba sana! Ndiyo maana hadi leo wanakunya vichakani
Acha unafiki kwani hana mbususu
Acha ushamba bhana! Kakumbatiwa na nani hapo? Hujui hata maana ya kukumbatiwa??? Je ange kiss kama kina Michelle ungesemaje wewe????Public figure ndio akumbatiwe hivyo huku yeye anacheka cheka tu?
Kamuulize mama yako ni malezi ya namna gani alinipatia nikiwa nae kitandani.Kosa ni malezi uliyopata c vinginevyo
Nimefanya nao projects hao watu, wanakunya popote and wanashida sana, ni vile tu hakuna namna inabidi tuishi naoHahaaaa!!!!eti wanakunya wap??????
Nipo mekuWewe jamaa yangu upo?
Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Ok Meku, kuna siku tulitibuana humu, ila tupo pamoja sanaNipo meku
Wewe nawe acha hizo, sasa mkuu wetu wa nchi ndo awe anapakatwa na majamaa hadharani na sisi tunaona halafu watu wasiseme. Sisi wote ni watu wazima tunajua ukishamshika kihivyo mwanamke (asiye ndugu yako) bila kujali ni Rais ama la ni lazima kuna muwasho wa hamasa utajitokeza.Ndugu, jitahidi kuwa na heshima na adabu.Huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake hata kama humpendi.Jaribu kutumia uhuru wako vizuri. Jaribu kuweka mipaka.
Hivi tumekosa fikra? Ina shida gani hiyo picha au ndio kuanzisha Uzi tiSisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Angekuwa na wivu wa kijinga hivyo Samia asingefika hapo alipoSisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Wivu una umri?Mtu yupo Around 70 yrs wivu utoke wapi