Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!

View attachment 2205857
Nasema tu kuwa Kuna watu na bahat zao duniani embu fikiria mtu director wa kuchukua tamthilia leo kampakata first lady wetu HV HV kimasiara siara [emoji1787]

Yey mwenye amekiri kuwa yule beberu bwan Peter alimuambia weka urais wako pembeni tufanye kazi na kukiri kuwa alichoshwa sana nakuwa bored kisa kuwapambania watz duh hatari San

Lkm pia na yey Ana zali sna yaani mtu hat ujapiga kitabu zvr umepiga kijanja janja alfu gafla bin fuu umeibukia bungeni Mara waziri mara mwenyekiti wa bunge la katiba maraa paap makamu wa rais duh Mara paa rais wa JMT . HV HV kwa shule ipi haswa hz ndio tunaitaga bahati haswa.

Wakt mm nimesoma mpk maphd sas nakaribia uprofesa Wal hat kupata ukatibu mkuu wa wizara sipati hat katibu tawala sionekani kweli kusema Kuna watu na bahat zaoo bhan haliwezekani aise mtu hat huna kitabu kikubwa lkn ndio una kuwa engine ya nchi bila kubugudhiwa ..Ni nzuri hi

Mungu anajuwa hatma za mtu wake Happ duniani yaani kila la kheri Dr samia suluh hassan
 
Maskini mna roho mbaya licha ya hivyo mnakera sana. I really hate life strugglers.

Mama chapa kazi tuliowengi tuko nyuma yako.

Life strugglers tuache kivyetu.[emoji276]

Uko nyuma yake unachungulia nini? Acha kujitafutia laana mlamu.
 
Kama angetaka Uislamu asingeingia kwenye siasa za figisu, wizi wa kura, mipasho etc.

Hebu muondoeni huko tujadili mambo in a secular way.
Kweli Hizi Dini zinapotosha..zimejaa uongo uongo tuuu.Ndio Mimi Sina Dini
 
Mwiba unamaanisha nini?
Mkuu kuna maneno mengine ukiyaweka katika lugha inayofahamika hapa JF, kutokana na sheria za kimaadili lazima ule ban. So kama umeishi mjini, basi hili neno haliwezi kukupiga chenga kulielewa.
 
Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!

View attachment 2205857

Swali langu ni moja tu: Mllinzi (body guard) wa rais mbona haonekani? anapaswa kuwa nyuma ya rais muda wote!! Mlinzi wa rais ana maswali ya kujibu! Ni nani alimwambia akae pembeni! Sina wasi wasi na mama ila picha za namna hii huweza kutumika kwenye "blackmail". Kuna haja ya kumfunda kwa ajili ya heshima ya Taifa letu!! Swali lingine, je kuna picha zingine za hao wawili wakiwa kwenye "pozi" mbalimbali?
 
ila Mbowe banaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli kiuno hakijali umri wala hadhi ya mtu. Wengi tulishangaa kuona kaka yetu wa machame kaingizwa chaka mzima mzima na mtoto wa kiunguja. Akamshawishi wa fly to kia kula urojo πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Haya maushungi, sijui baibui, kanzu huwa yanatudanganya sana. Huo ndio uhalisia sasa. Kuna mtu wa maana alinipa tetesi kuwa hata mvinyo unagongwa hapo.
Mtu wa maana mzushi kinome🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…