Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!

View attachment 2205857
Aliyeshikwa hapo alimruhusu Kuoa Mke mwingine na nasikia alipokuwa Namba Mbili aliongezewa wa Tatu hivyo wako Watatu sasa. Nae mruhusiwa Kuoa ana Malalamiko yake kadhaa ambayo hata hivyo kwa sasa Roho Mtakatifu hajanirihusu niyaanike kaa
 
Brother Hafidh naye anajitenga sana,alitakiwa hizi safar za US naye yuko pembeni achezi mbali..

Analeta mapozi kwenye mambo muhimu.
 
Brother Hafidh naye anajitenga sana,alitakiwa hizi safar za US naye yuko pembeni achezi mbali..

Analeta mapozi kwenye mambo muhimu.
Ilitakiwa wasaidizi wa Rais wamshauri aambatanme na mumewe. Ni kwa maslahi na heshima kwa Taifa letu!! Naona ile safari ya Canada tudai aende na mumewe!
 
Halafu huyu mjungu yeye anajiona ni nani ety??
 
Sasa hapo atafanywa nini, huko anakolindwa yeye huwa anakuwepo sehemu zote, nikunywa maji tu anatulia.
 
acha malalamiko tafuta hela boy dini ipo tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KIA ipi? Wazenji watashindwa kuelewa ni Kilimanjaro International Airport, watajitengenezea tafsiri isiyo na maadili. Napendekeza kwa faida yao KIA iandikwe kwa kirefu chake. Tukubali ukweli kuwa Kiswahili kinazushiwa nahau na misemo isiyo na ithibati ya vyombo husika.
 
Brother Hafidh naye anajitenga sana,alitakiwa hizi safar za US naye yuko pembeni achezi mbali..

Analeta mapozi kwenye mambo muhimu.

Brother Hafidh ni mtu aliyejitambua hivyo anajua kuwa mama yuko kazini ; naye anaendelea na majukumu yake nyumbani. Ni mgawanyo wa majukumu tu.
 
Hahaha kweli mkuu, ngoja wenye uelewa mzuri na hili neno KIA waje waliandike kwa kirefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…