abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,747
- 1,158
Umechanganyikiwa, hata hujui unaloandika. Mimi na Bandari ya Bagamoyo wapi na wapi?
Huyu mtu wako hapa hana hadhi kabisa na nafasi hiyo aliyoiokota; si kimwonekano tu bali hata katika uwezo wa utendaji.
Na mbaya zaidi, katekwa na kundi la wapigaji. Hii itakuwa balaa.
Na inaruhusu wanaume wangapi? Huyu mama hafungi Ramadan?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kuweni na staha kwa mkuu wa nchi. Ukiondoa urais wake ni mwanamke ni mama. Life strugglers na sukuma gangs mnakera sana. Reckless hate.Maana kitaan hapa taharuki kibao jaman. View attachment 2206742
We bwegee kwel! Sio kila kitu sukuma gang! Fala ww...kwan picha huzioni? Ukwel ndo huoo...ukiona manyoyaa..fala wwKuweni na staha kwa mkuu wa nchi. Ukiondoa urais wake ni mwanamke ni mama. Life strugglers na sukuma gangs mnakera sana. Reckless hate.
Umbwaaaa wewe
Mume wa rahisi wetu. HatumjuhiSisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Hii ID bado mnatumia watu kumi au kwa sasa ni wewe mwenyewe ?Maana kitaan hapa taharuki kibao jaman. View attachment 2206742
Edited AKA Fake.
Huko bungeni mlisaidiwa kuingia kwa MKONO WA CHUMAMaana kitaan hapa taharuki kibao jaman. View attachment 2206742
Mleta mada anajifanya hajui kwamba hilo eneo lote lilikuwa chini ya ulinzi wa wana usalama.
Tatizo kubwa uwezo wake wa kufikiria umedumaa.Mleta mada anajifanya hajui kwamba hilo eneo lote lilikuwa chini ya ulinzi wa wana usalama.
Kwa maandishi haya unajisikia kweli kuna kitu umechangia hapa?Kama vp mfuate yule maluun wenu????vp umeshamaliza zamu yako ya kufagilia malalo ya lile kubwa la maadui????
Wewe ndiye hujaelewa, Rais anaachwaje polini bila wanausalama??Sasa Wanausalama hapo ,wanaingiaje...?! Au hujamueleea!?
Duh! hatari sana.Inategemea na uelewa wa mtu. Mbona hawa waligeana namba na tukio lao halikufanywa ishu kivile?
View attachment 2205859