Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

Wamemaliza kimoja Cha fasta vichakani.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna kitu nimeona kwenye midomo na vidole vya mkono wa kulia vya "actress"
Kama vile alisikia "rahaaaa saaana"
Shenzi, shenzi kabisa [emoji35][emoji35][emoji35][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pumbav kabisa!!!
 
Mara nyingi sana type hizo utakuta alishajiondoa zamani sana, kwa maana hata Kiislamu tu Mwanamke haruhusiwi hata tu kumpa mkono kwa maana ya kusalimiana Mwanaume asiye Mume wake.
No respect, No Boundaries!
Hamna kitu apo ubongo umejaa umarekani na uzungu.
 
Ndugu, jitahidi kuwa na heshima na adabu.Huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake hata kama humpendi.Jaribu kutumia uhuru wako vizuri. Jaribu kuweka mipaka.
Kosa liko wapi ye ndo aliepiga picha yeye anafurahia mama la mama alivotokelezea ee
 
Maskini mna roho mbaya licha ya hivyo mnakera sana. I really hate life strugglers.

Mama chapa kazi tuliowengi tuko nyuma yako.
Mh mpo wachache acheni kumdanganya bibi yenu enyi viroboto
 
Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!

View attachment 2205857
Mkuu naona unaingilia maisha binafsi ya mheshimiwa Rais, unaleta aina fulani ya unyanyasaji wa kijinsia pengine bila ya kufahamu.

Maisha ya Mama yako mzazi unapaswa kuyaheshimu, kaliona jua kabla yako.
 
Mkuu,hiyo picha sio mimi niyoipiga.huenda hao walioipiga ndio waliingilia faragha ya Mheshimiwa
 
Mkuu naona unaingilia maisha binafsi ya mheshimiwa Rais, unaleta aina fulani ya unyanyasaji wa kijinsia pengine bila ya kufahamu.

Maisha ya Mama yako mzazi unapaswa kuyaheshimu, kaliona jua kabla yako.
Kuongoza hii nchi shida sana Chief! Bado tuna mazinja mengi sana, ila tutafika tu
 
wanaume tunapitia mengi sana na hawa viumbe, hana la kufanya. Huwa tunawavumilia, mfanye mkeo kama mtoto mdogo ili usiumie sana kichwa...achana na nafasi alizonazo..mchukulie kama mtoto mdogo hajui haelewi🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…