Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

spooti

Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
24
Reaction score
27
Nauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
 
Baada ya utaratibu wa kuwalaza Makambako kutenguliwa, siku hizi wanatoboa. Ila ndo ujiandae kufika kuanzia saa 7, 8 au 9 usiku.
So nikianza Safar kesho uhakika kufika kabla ya jumatatu asubuho
 
Nauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
Nauli elfu 55, ukiondoka Mwanza saa 12 asubuhi Mbeya unafika kuanzia saa 7 usiku hapo dereva amekimbia sanaa, ukipanda basi bovu jua mbeya utafika saa 10 alfajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom