Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

No#
Screenshot_20200125-112916.jpeg
Screenshot_20200125-115737.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo saiz hakuna kulala njian
Beira Boy yaani Kangi Lugola ni hakuna tena chapa kazi km hilo li-Polisi
Mabasi hakuna kulala bila sabau
Tochi za kuviziana juu ya miti hakuna
mpiga tochi akae kwa mbele kwenye kibao
Bodaboda hakuna kukamatwa tena
abiria wa bodaboda hawavai Helmet
yaani sijui km Simbachawene atawaweza hawa POLISI tumekwisha madereva wa barabara za TZ maana siku hizi hakuna majambazi tena ya usiku kuweka vigogo au tochi mchana
 
Back
Top Bottom