t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,191
- 17,171
Mwanza mbeya ni km 1270Mwanza-Mbeya Km 920
Mwanza-dar km 1145
dodge
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza mbeya ni km 1270Mwanza-Mbeya Km 920
Mwanza-dar km 1145
dodge
mwongo huyo mwanza dar ni kilometa 1200+Samahani mkuu, hivi unazijua 2500km kweli?? Au unamtania mtoa mada?
6e6So nikianza Safar kesho uhakika kufika kabla ya jumatatu asubuho
Kwa kawaida ukitoka mwanza saa 12 asubuhi utafika mbeya saa tisa usiku, tatizo kubwa la njia hii gari zake sio nzima sana kuharibika njiani ni ishu ya kawaida, hilo premier ndio lina hadi kunguniNauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
Nauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
Mwanza to dodoma 690 km
Basi zinatumia njia ya dodoma kupitia mtera, njia ya Tabora bado kutumika kwa basi kwa ruti za mwanza mbeya.Hizo km mkuu za mwaza_mbeya kupitia wapi maana ipo ya tbr au Dom.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa natumia ndege Sijui utafika SAA ngapi na basiNauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
Jionee hapo kwenye root hizo mbili DAR -MBY na MZA-MBYNauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
Nakubali mkuu pongezi kwa fikoshi premier lina kunguni kibaoSaa mbili au saa tatu usiku utakua iringa...saa sita au saba usiku makambako..saa tisa au kumi utakua mbeya.....isamilo zinachelewaga sana .panda fikoshi au premier
Mkuu angalia data zako vizuri, Mimi nimetembea na gari na kupima kabisa kupitia odometer, Dar Moro 188, Moro Iringa 312, Iringa-Mbeya 313.
Mwanza dom 710kmMwanza-Mbeya Km 920
Mwanza-dar km 1145
dodge