hii Ramani ya Google Map km inapitia Mtera (Mpwapwa) basi kuna ukweli ni kilomita 1,267 Mwanza MbeyaKwa route ya Mwanza Dom Iringa Mby, na Mwanza Dom Moro Dar, nadhan Mby ni mbali zaidiView attachment 1334105View attachment 1334106
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mwanza-mbeya in zaidi ya Km 1250Mwanza-Mbeya Km 920
Mwanza-dar km 1145
dodge
Gari huwa inafika makambako kuanzi saa7-8 mbeya inafika kuanzia 9-10Baada ya utaratibu wa kuwalaza Makambako kutenguliwa, siku hizi wanatoboa. Ila ndo ujiandae kufika kuanzia saa 7, 8 au 9 usiku.
Mkuu mwanza-mbeya in zaidi ya Km 1250
tumia Google Map, hapo kuna njia 3out of topic,,,bukoba mpaka mtwara kms ngapi?
ngoma ya siku kadhaa kwenye basitumia Google Map, hapo kuna njia 3
- via B2 ni masaa 30 kilomita 1940
- via B3 na B2 ni masaa 30 kilomita 1944
- via A19 Masaa 33 kilomita 2206
View attachment 1334662
Sema gari zake mbovu kweli yaani. Ujiandae tu kisaikolojia mkuuNauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
Gari ipi mbovu mkuu
Hizo km mkuu za mwaza_mbeya kupitia wapi maana ipo ya tbr au Dom.Mwanza-Mbeya Km 920
Mwanza-dar km 1145
dodge
Uko sahihi mkuuKm 920 ni sawa na Dar - tunduma
Mwanza mbeya ni kipande kirefu km 1300+
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Dodoma mbeya kuna 620km inawezekanaje mwanza mbeya iwe 920km ??labda kama kuna njia nyngneMwanza-Mbeya Km 920
Mwanza-dar km 1145
dodge