Hivi haiwezekani dunia nzima tukaungana tukaivamia North Korea kupitia UN na kumtoa Kim Jong Un madarakani?

North Korea sio taifa huru. Thats the whole point! Kim ndo yuko huru, wananchi wake hawapo
Kama unafikiri upo huru...nenda kwenye mitandao ile ambayo umejitambulisha vema halafu anza kuwasema akina cc na mama yao kwa ujumla kuhusu changamoto zinazokukabili..(kwa mwamvuli wa kila raia yupo huru kutoa mawazo yake)..ili tuokaukote mwili wako ununio au hata tusiuone hata huo mwili wenyewe.
 
Lakini fahamu kuwa hizo media kubwa kama.BBC na CNN hawawezi kuongea mazuri ya Korea Kaskazini au Urusi!
 

Thats my whole point.

Umeona ulichoandika? Umesema sisi tuna mitandao. Kim kafungia mitandao nchini kwake. Wananchi hawana haki ya kupata taarifa.

Wewe ungekuwa North Korea ungekuwa ushapigwa risasi because umetoa mada humu jamvini.

Sisi katiba yetu inakataza kutekana na kiongozi kujichukulia sheria mkononi na ndo maana Sabaya alipelekwa kwenye mahakama.

Kufananisha North Korea na Tanzania ni fallacy
 
wewe akili huna
 
Aondolewe Ili Raisi wetu mpedwa mama yetu atawale mpka huko
 
Ukimbizini wapi?

Wakati Kim ameweka mabomu kila sehemu ya mipaka ili wasikimbie.

Au unadhani kule ni kama airport ya Tanzania unafly tu unapotaka kwenda mkuu?

Read sources especially non-western ones utaona ulichokiandika hakiko sawa
Nawaza tu kuona uwezekano hata wa kutoroka mkuu wangu. Ila Asante kutuelimisha.
 

Wewe kama mmarekani wa Namungo Kim Jong Jr kakukosea nini?
 
Unapata madhara gani kwa wakorea kukosa uhuru wa kisiasa .?
 
Unapata madhara gani kwa wakorea kukosa uhuru wa kisiasa .
 
Ya kwetu tu yametushinda, nchi ina mafisadi hii na walafi wa kutosha inabidi tuanze na hao kwanza, by the way Kwa Hilo haiwezekani maana hakuna mfumo uliokamilika Kwa asilimia zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…