Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Sisi tumvamie kwani ametukosea nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna maslahi yoyote ,USA hawaogopi nchi kama hii yenye itikadi ya mtu mmoja yaani sio ya kitaifa au kisera hivyo akifa huyo kama asipo ridhi ndungu basi na haina nguvu kiuchumi hata ukipigana na yo haiwezi sustain vita vya muda mrefu zaidi ya kuitishia marekani na korea kusini tu juzi juzi walituma mabaloon ya.maviMabwana zenu USA wenyewe hawauwezi moto wake nyie makapuku mtaweza wapi
Mkapeleke amani kama mliopeleka syria na uhuru au sio?Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.
Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?
Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?
Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?
Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?
Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.
Yaah propaganda ni nyingi sana.Nimekuwa natamani tupate mtu aliyefika North Korea mwenyewe tupate simulizi yake, sio kutegemea propaganda za magharibi.
Itoshe kusema wewe ni miongoni wajinga wengi tulionao hapa nchini. Pambania maisha yako, okoa kizazi chako achana na ndoto za kipuuzi.Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.
Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?
Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?
Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?
Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?
Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.
Nilijua tu, wapumbavu kama wewe huwa hamkosekaniUzi wa kijinga sana huu.
Mumvamie mtu ambaye anaongoza taifa lake kwa utashi wake? Are you mad! Lile ni taifa huru mwacheni afanye anachotaka kumvamia ndio kutafta majanga sababu yule kurusha nuclear hajiulizi mara mbili
Lugha yetu ya kiswahili inatumika vibaya sana.
Unaona sawa kabisa kuvamia Nchi ya mwenzenu kisa Wana Nchi wake hawana uhuru wewe hapa kwako una uhuru Gani wa kumtambia raia wa Korea Kasi? Utofauti uliopo kati Yako na korea Kasi ni % chache maana wakosoaji wa serikali wote mna uawa kama mbwa tu.
Hata mkiungana china hawezi kumpiga kiduku Russia na Iran Hawa wote ni kitu kimoja.
Tukija Kwa Africa hamna Kila kitu labda uchawa.
Wewe kama Mtanzania, North korea kakuathili vipi mpaka uwe na wazo la kupigananae?Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.
Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?
Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?
Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?
Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?
Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.
Baba Yako amekutelekeza wewe na mama Yako. Unataka eti polisi wamkamate warudishe nyumbani. Hicho ndio umetuambia.Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.
Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?
Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?
Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?
Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?
Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.
Hahaha nimecheka KweliNasikitika kukwambia kuwa baba yako aliuza ng'ombe ili apeleke ng'ombe shule
Wanatakiwa wang'olewe waliberali wakiongozwa na chama cha Democrats kwa kuanzia Kamala piga chini ,babu Biden akalelewe nyumba ya wazee ,,,maupinde wote wasafishweThe Axis Of Evil. Wote hao wanatakiwa wang'olewe!
Baba Yako amekutelekeza wewe na mama Yako. Unataka eti polisi wamkamate warudishe nyumbani. Hicho ndio umetuambia.
North Korea ni nchi huru, watu wake wanampenda Kiongozi wao na style ya maisha yao sio lazima yafanane na Yako.
Mfano rahisi ni Libya walikua na maneno kama Yako Leo Libya Iko wapi, same to Iraq.
Kwanza nani alisema lazima Kila mtu aishi kama hao wazungu wako wanavyotaka(westerners). Kumbuka Kila nchi na mfumo wake wa maisha hivyo watapata viongozi kulingana na mfumo wao.
Hivi Uingereza ni lini watapiga kura kumchgua King or Queen?
Hilo sio jambo jema hata kidogo. Huyo na Hao wenzake ni muhimu sana kwa wao kuwepo. Hawapo kwa bahati mbaya -la hasha. Siku watakapokosekana ndo utajua umuhimu wao. Ni hayo tu.Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.
Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?
Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?
Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?
Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?
Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.
Dah! Mkuu; Kwani wamekutenda nini ww hadi wastahili kuwa eliminated by any means?Huyu na yule Khamenei wa Iran ni machizi na Putin,wangefaa kuwa eliminated by any means