Hivi haiwezekani dunia nzima tukaungana tukaivamia North Korea kupitia UN na kumtoa Kim Jong Un madarakani?

Kama wana raha na kiongozi kwanini kila mwaka kuna thousands of North Koreans wanaingia South Korea?

Wewe mwenyewe ukiambiwa ukakae North Korea utaweza mkuu?
Mbona Kuna. Watanzania wanazamia Ulaya Africa kusini na kwengineko. Hivyo hivyo wapo wazungu wa Ulaya wanakimbilia marekani. Ni mtazamo binafsi na sio kwamba nchi yao viongozi wabaya.
 
Mkuu kuna thousands of people ambao wanakufa kila mwaka wakijaribu kuondoka North Korea kwenda South.

Hata non western media zinaripoti hivyo.

Kuna tones of evidence kutoka kwa refugees wa North Korea wanasema kuwa hali ni mbaya.

Naomba ukatafute documntaries za Oh Chong Song pamoja na Yeonmi Park wakizungumzia jinsi walivyotoroka.
Undani wa Docs za Oh Chong Song na Yeonmi Park zinaonesha kwa undani wake kuwa hao walikuwa ni Mahasidi (Against au ni Wapinzani)wa Uongozi katika Serikali ya NK.
Hakuna nchi isiyokuwa na wapinzani. Toafauti ni Nguvu ya Upinzani dhidi ya nguvu ya Dola. Lakini kubwa zaidi ni mbinu zitumikazo baina ya pande mbili husika.
 
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII

Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.

Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?

Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?

Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?

Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?

Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.

Ili iweje
Hv unaijua UN vzr ama
 
Ni maajabu sana kusikia kauli hizi!
Korea Kaskazini au Urusi wakisema wamvamie Marekani, wewe mleta mada utapinga vikali!
Jiulize, unakwenda kuwavamia ili iweje!?? Wamekosea nini!??
 
Mbona Kuna. Watanzania wanazamia Ulaya Africa kusini na kwengineko. Hivyo hivyo wapo wazungu wa Ulaya wanakimbilia marekani. Ni mtazamo binafsi na sio kwamba nchi yao viongozi wabaya.

Wanauliwa kwenye hiyo process ya kutaka kuondoka?

Mipaka ya nchi imezungushiwa fensi na mtu akikamatwa anataka kutoroka anapigwa risasi mpaka kufa.

What part of that process inakufanya uilinganishe North Korea na nchi za Ulaya?

I dont understand how mnatetea maandamano ya Samia Must Go but mtu akisema Kim Jong Un aondoke mnapandisha sukari.
 
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII

Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.

Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?

Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?

Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?

Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?

Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.

Kondoo utawajuwa tu, hawajifichi.
 
Ni maajabu sana kusikia kauli hizi!
Korea Kaskazini au Urusi wakisema wamvamie Marekani, wewe mleta mada utapinga vikali!
Jiulize, unakwenda kuwavamia ili iweje!?? Wamekosea nini!??

Marekani amezungushia fensi wananchi wake wasitoke nchini?

Marekani unauliwa kwa sababu unaamini kwenye imani fulani?

Kim inabidi aondoke and North Korea needs to be a normal nation.

I dont understand how Kim is able to put 26 million people as prisoners na bado international community inamuangalia tu
 
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII

Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.

Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?

Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?

Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?

Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?

Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.

Wangeteswa, wangeenda ukimbizini. Mbona wamekaa tu hapo.
 
Tusiende mbali tuanzie hapa HAPA kwetu..
Maana waswahili Wana misemo mingi Sanaa
""USAFI HUANZIA NYUMBANI""

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Undani wa Docs za Oh Chong Song na Yeonmi Park zinaonesha kwa undani wake kuwa hao walikuwa ni Mahasidi (Against au ni Wapinzani)wa Uongozi katika Serikali ya NK.
Hakuna nchi isiyokuwa na wapinzani. Toafauti ni Nguvu ya Upinzani dhidi ya nguvu ya Dola. Lakini kubwa zaidi ni mbinu zitumikazo baina ya pande mbili husika.

Great!

Now kaangalie na documentary ya Yeonmi Park akizungumzia maisha ya North Korea yalivyo.

Hapo umetoa hoja ya upande mmoja.

Ukishaangalia hiyo ducomentary rudi hapa.

Alfu na wale thousands of people wanaotaka kuhama North Korea kwenda China au South Korea na wanauliwa in the middle of the process nao ni mahasidi?
 
Wangeteswa, wangeenda ukimbizini. Mbona wamekaa tu hapo.

Ukimbizini wapi?

Wakati Kim ameweka mabomu kila sehemu ya mipaka ili wasikimbie.

Au unadhani kule ni kama airport ya Tanzania unafly tu unapotaka kwenda mkuu?

Read sources especially non-western ones utaona ulichokiandika hakiko sawa
 
Great!

Now kaangalie na documentary ya Yeonmi Park akizungumzia maisha ya North Korea yalivyo.

Hapo umetoa hoja ya upande mmoja.

Ukishaangalia hiyo ducomentary rudi hapa.

Alfu na wale thousands of people wanaotaka kuhama North Korea kwenda China au South Korea na wanauliwa in the middle of the process nao ni mahasidi?
Nitazipitia mkuu. (Ila ni ndefu mno kwa muda ninaojaliwa).
 
Mumvamie mtu ambaye anaongoza taifa lake kwa utashi wake? Are you mad! Lile ni taifa huru mwacheni afanye anachotaka kumvamia ndio kutafta majanga sababu yule kurusha nuclear hajiulizi mara mbili
Mtanzania kashindwa kuuvamia umasikini katika nchi yake, anakaa anajadili mambo ya kufikirika
 
Ukimbizini wapi?

Wakati Kim ameweka mabomu kila sehemu ya mipaka ili wasikimbie.

Au unadhani kule ni kama airport ya Tanzania unafly tu unapotaka kwenda mkuu?

Read sources especially non-western ones utaona ulichokiandika hakiko sawa
Yeah. Ni kweli Mapank amewazingira mbele na nyuma wale wanaojaribu na watakaojaribu kuondoka kwa Utoro NK. eti wamechoshwa na Hali. Yan ni kama anawaambia "Kaa ufie hapo - kenge wewe". Ila huko-huko wapo jamaa wanalamba asali na kujilia keki ya Tifa kimasihara kweli kweli.
 
Back
Top Bottom