Hivi Haji Manara ni msemaji wa Simba au mchambaji Yanga?

Anae mjua msemaji wa timu ya arsenal,man u,man City,Chelsea amtaje hapa

Ndio mtajua manara Hana kariba ya usemaji wa timu at least " TEN" anakuja kuja katika usemaji wa timu
 
Hiyo slogan yenyewe imekaa kimipasho mno huo siyo mpira tena.

IGA UFE.!!

Hata waliomzunguka nao hopeless wenzie tu,sishangai wazee kuviyumbisha hivi vilabu sababu uswahili mwingi badala ya Professionalism.

Msemaji ni Idd Maganga wa Azam pekee hizi zingine takataka.

Fuatilia utagundua watu wanataka umaarufu tu.
 
Watoto wanaopatikana kwa witch doctor wasumbufu. Tuvumilie
 
Mlivyokuwa mnatuita wa matopeni mbona hukumuonya yule mshamba aliyekuwa anatutukana kila leo? Au hujui kuwa sasa mnatuita mikia fc? Kwasukwasu vumilieni tu hakuna jinsi nyingine
 
Alitaka awe muimbaji wa yale mahadhi ya pwani lakini BSS wakampondea kwamba sauti yake mbaya,usanii ni ubunifu.
 
Tulieni dawa iwaingie fresh
 
Huyu Manara umemsikia leo?... Chura mnatapatapa tu
IGA UFE
 
Kusanya kijiji ndio nini... acheni kumpangia namna ya kufanya kazi yake
 
Anae mjua msemaji wa timu ya arsenal,man u,man City,Chelsea amtaje hapa
Ndio mtajua manara Hana kariba ya usemaji wa timu at least " TEN" anakuja kuja katika usemaji wa timu
Soka la ulaya usilete huku bongo kwenye timu ambazo hazina viwanja.
Huyo TEN yuko Yanga na Manara yuko Simba kila mtu na moto wake, usitake wafanane mkuu.
IGA UFE
 
Alipoichamba Yanga wapi?
Amekosea kuwambia mnafanya maandamano ka chama cha siasa
 
Kuna kitu Amber Rutty aliwahi kudokeza kuhusu Haji Manara, sidhani kama tuna haja ya kumlaumu, unless Madam Woo awe muongo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…