Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wanaopatikana kwa witch doctor wasumbufu. TuvumilieHuyu jamaa sasa ameanza.kuboa. kuchwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Yanga. Huo ni uswahili kaka. Vichambo vyako vinaboa sana. Jikite kwenye kuipromote timu yako
Maneno yako ya shombo dhidi ya Yanga yanasababisha chuki.unaweza kumuharibia hata Modewji biashara zake. Kuna mashabiki wa Yanga wata susia kununua bidhaa za Mo Enterprises kwa sababu ya maneno yako.
Be proffessional kaka. Wewe umeajiriwa kuwa msemaji wa Simba na sio mtu wa kuichamba Yanga. Kama kuiponda Yanga basi iponde kwenye performance na sio masuala mengine yasiyo husiana na mpira uwanjani.
Halafu acha ufala bana. Unakuwa unafikiri sio mtoto wa Kariakoo bana. Simba sio baba ako wala mama.ako. Mungu kakujalia kipaji cha kuongea. Kesho na.keshokutwa unaweza kutimuliwa Simba, Yanga wakakuajiri uwe msemaji wao. Usiwe kama Shabiki maandazi. Wewe kuwa proffessional.
Halafu nashangaa what has came over u. Hukuwaga hivyo wewe. Enzi za madrassa kwa Ustadh Rama pale ulikuwaga smart sana siku hizi sijui umekuwaje weye.
Wewe ni msemaji wa Simba au Mchambaji wa Yanga?
Kila saa gongowazi gongowazi. Unaboa sana kaka. Be proffessional
Mlivyokuwa mnatuita wa matopeni mbona hukumuonya yule mshamba aliyekuwa anatutukana kila leo? Au hujui kuwa sasa mnatuita mikia fc? Kwasukwasu vumilieni tu hakuna jinsi nyingineHuyu jamaa sasa ameanza.kuboa. kuchwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Yanga. Huo ni uswahili kaka. Vichambo vyako vinaboa sana. Jikite kwenye kuipromote timu yako
Maneno yako ya shombo dhidi ya Yanga yanasababisha chuki.unaweza kumuharibia hata Modewji biashara zake. Kuna mashabiki wa Yanga wata susia kununua bidhaa za Mo Enterprises kwa sababu ya maneno yako.
Be proffessional kaka. Wewe umeajiriwa kuwa msemaji wa Simba na sio mtu wa kuichamba Yanga. Kama kuiponda Yanga basi iponde kwenye performance na sio masuala mengine yasiyo husiana na mpira uwanjani.
Halafu acha ufala bana. Unakuwa unafikiri sio mtoto wa Kariakoo bana. Simba sio baba ako wala mama.ako. Mungu kakujalia kipaji cha kuongea. Kesho na.keshokutwa unaweza kutimuliwa Simba, Yanga wakakuajiri uwe msemaji wao. Usiwe kama Shabiki maandazi. Wewe kuwa proffessional.
Halafu nashangaa what has came over u. Hukuwaga hivyo wewe. Enzi za madrassa kwa Ustadh Rama pale ulikuwaga smart sana siku hizi sijui umekuwaje weye.
Wewe ni msemaji wa Simba au Mchambaji wa Yanga?
Kila saa gongowazi gongowazi. Unaboa sana kaka. Be proffessional
Tulieni dawa iwaingie freshHiyo slogan yenyewe imekaa kimipasho mno huo siyo mpira tena.
IGA UFE.!!
Hata waliomzunguka nao hopeless wenzie tu,sishangai wazee kuviyumbisha hivi vilabu sababu uswahili mwingi badala ya Professionalism.
Msemaji ni Idd Maganga wa Azam pekee hizi zingine takataka.
Fuatilia utagundua watu wanataka umaarufu tu.
Kusanya kijiji ndio nini... acheni kumpangia namna ya kufanya kazi yakeHiyo slogan yenyewe imekaa kimipasho mno huo siyo mpira tena.
IGA UFE.!!
Hata waliomzunguka nao hopeless wenzie tu,sishangai wazee kuviyumbisha hivi vilabu sababu uswahili mwingi badala ya Professionalism.
Msemaji ni Idd Maganga wa Azam pekee hizi zingine takataka.
Fuatilia utagundua watu wanataka umaarufu tu.
Soka la ulaya usilete huku bongo kwenye timu ambazo hazina viwanja.Anae mjua msemaji wa timu ya arsenal,man u,man City,Chelsea amtaje hapa
Ndio mtajua manara Hana kariba ya usemaji wa timu at least " TEN" anakuja kuja katika usemaji wa timu
Tena watulie kabisaa... na wasimpangie la kusemaMlivyokuwa mnatuita wa matopeni mbona hukumuonya yule mshamba aliyekuwa anatutukana kila leo? Au hujui kuwa sasa mnatuita mikia fc? Kwasukwasu vumilieni tu hakuna jinsi nyingine
Yote kheri... mpe hai J.MUROWatoto wanaopatikana kwa witch doctor wasumbufu. Tuvumilie
Alipoichamba Yanga wapi?Huyu jamaa sasa ameanza.kuboa. kuchwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Yanga. Huo ni uswahili kaka. Vichambo vyako vinaboa sana. Jikite kwenye kuipromote timu yako
Maneno yako ya shombo dhidi ya Yanga yanasababisha chuki.unaweza kumuharibia hata Modewji biashara zake. Kuna mashabiki wa Yanga wata susia kununua bidhaa za Mo Enterprises kwa sababu ya maneno yako.
Be proffessional kaka. Wewe umeajiriwa kuwa msemaji wa Simba na sio mtu wa kuichamba Yanga. Kama kuiponda Yanga basi iponde kwenye performance na sio masuala mengine yasiyo husiana na mpira uwanjani.
Halafu acha ufala bana. Unakuwa unafikiri sio mtoto wa Kariakoo bana. Simba sio baba ako wala mama.ako. Mungu kakujalia kipaji cha kuongea. Kesho na.keshokutwa unaweza kutimuliwa Simba, Yanga wakakuajiri uwe msemaji wao. Usiwe kama Shabiki maandazi. Wewe kuwa proffessional.
Halafu nashangaa what has came over u. Hukuwaga hivyo wewe. Enzi za madrassa kwa Ustadh Rama pale ulikuwaga smart sana siku hizi sijui umekuwaje weye.
Wewe ni msemaji wa Simba au Mchambaji wa Yanga?
Kila saa gongowazi gongowazi. Unaboa sana kaka. Be proffessional
Sauti yake inafit hapo alipo kwa hiyo mtulie kama wageniAlitaka awe muimbaji wa yale mahadhi ya pwani lakini BSS wakampondea kwamba sauti yake mbaya,usanii ni ubunifu.
Na bado...Kiherehere wa bongo muvi
Mkuu hawa watu hawana jipya wamebaki kutafuta wa kulumbana nae.Alipoichamba Yanga wapi?
Amekosea kuwambia mnafanya maandamano ka chama cha siasa
IGA UFESiku zote unayemuongelea muda wote either unamkubali sana, au unamuogopa sana, kwahiyo mimi simshangai manara!