Hivi Haji Manara ni msemaji wa Simba au mchambaji Yanga?

Huyo hajitambui huyo, msamehe tu nafikiri umenielewa.
 
Wakuja tabu sana wanafikiri Simba na Yanga ni maadui!Yanga ni Simba ni watani wa jadi. Na watani huwa wanataniana.Kwa hao waliofuata mkumbo tabu sana kuelewa.
 
Manara ana inferiority complex. Anapata faraja fulani kuitukana au kuidhalilisha Yanga.
Asas wamepotea sana kumfanya ambassador wao. Ataua biashara unless wanataka kupoteza sehemu kubwa ya potential market yao.
 
Mocking kwenye marketing kitu Cha kawaida Sana mkuu. Pepsi na Coca-Cola, iPhone na Samsung wote hao hupigana majungu bila chenga na haki haribiki kitu. Zama YouTube ujionee Ni mambo ya kawaida Sana ..
 
Manara ana inferiority complex. Anapata faraja fulani kuitukana au kuidhalilisha Yanga.
Asas wamepotea sana kumfanya ambassador wao. Ataua biashara unless wanataka kupoteza sehemu kubwa ya potential market yao.
Ur right mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…