Kufa mwenyeweIga ufe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa mwenyeweIga ufe
IGA UFENakubaliana na hii Mkuu. Bila kuitaja Yanga Manara si lolote.
Hahaha IGA UFENakubaliana na hii Mkuu. Bila kuitaja Yanga Manara si lolote.
IGA UFEUyo manara ni mbumbumbu
Umbumbumbu hauigwiIGA UFE
Genius at workA na B yote ni sahihi
Siku ikifika nitakufaKufa mwenyewe
Huyo hajitambui huyo, msamehe tu nafikiri umenielewa.Huyu jamaa sasa ameanza.kuboa. kuchwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Yanga. Huo ni uswahili kaka. Vichambo vyako vinaboa sana. Jikite kwenye kuipromote timu yako
Maneno yako ya shombo dhidi ya Yanga yanasababisha chuki.unaweza kumuharibia hata Modewji biashara zake. Kuna mashabiki wa Yanga wata susia kununua bidhaa za Mo Enterprises kwa sababu ya maneno yako.
Be proffessional kaka. Wewe umeajiriwa kuwa msemaji wa Simba na sio mtu wa kuichamba Yanga. Kama kuiponda Yanga basi iponde kwenye performance na sio masuala mengine yasiyo husiana na mpira uwanjani.
Halafu acha ufala bana. Unakuwa unafikiri sio mtoto wa Kariakoo bana. Simba sio baba ako wala mama.ako. Mungu kakujalia kipaji cha kuongea. Kesho na.keshokutwa unaweza kutimuliwa Simba, Yanga wakakuajiri uwe msemaji wao. Usiwe kama Shabiki maandazi. Wewe kuwa proffessional.
Halafu nashangaa what has came over u. Hukuwaga hivyo wewe. Enzi za madrassa kwa Ustadh Rama pale ulikuwaga smart sana siku hizi sijui umekuwaje weye.
Wewe ni msemaji wa Simba au Mchambaji wa Yanga?
Kila saa gongowazi gongowazi. Unaboa sana kaka. Be proffessional
Tunalijua hilo Mtani japo anavuka mipaka saa ingine.Ni mtoto wenu mtani kwanini asiwataje?
Hahaha IGA UFE
Kusanya kijiji ndio mpango mzima. 💃💃💃IGA UFE
Mocking kwenye marketing kitu Cha kawaida Sana mkuu. Pepsi na Coca-Cola, iPhone na Samsung wote hao hupigana majungu bila chenga na haki haribiki kitu. Zama YouTube ujionee Ni mambo ya kawaida Sana ..Huyu jamaa sasa ameanza.kuboa. kuchwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Yanga. Huo ni uswahili kaka. Vichambo vyako vinaboa sana. Jikite kwenye kuipromote timu yako