puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,001
- 2,010
Kuna ka hali fulani ka wasiwasi huwa kananipata....ambacho deeply hakuna sababu ya msingi ya wewe kufanya hivyo....
Mambo yenyewe ni kama yafuatayo...
1. Hata niwe na simu inakaa na charge muda mrefu kiasi gani siwezi washa data on kwa muda ambao situmii wasiwasi charge inaweza kuisha muda wowote[emoji1787]
2. Nikiwa karibu na umeme simu ikifika hata asilimia 80, kama siitumii nitaweka charge napenda kuona 100% on my phone [emoji1787][emoji1787]
3. Nikifunga mlango wangu nikiwa natoka, nikipiga hatua kadhaa najua kabisa nimefunga ila siwezi pata amani mpaka nihakikishe kama nimefunga kweli hivyo lazima nirudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
4. Nikiwa na pesa nyingi on my wallet, siwezi kuona raha ya kutumia...kuna kale kafilling kananuambia huwezi maliza hii hela sasa hv...hivyo always naonaga vitu kwangu havinifurahishi tofauti nikiwa na balance ndogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
5. Nikivaa nguo mpya nakuwa uncomfortable [emoji1787][emoji1787][emoji1787] najiona kama kolo (Mchamba) pia nahisi watu wote wananiona hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
6. Napenda sana watu wakivaa miwani ya urembo ila upande wangu nikivaa nakuwa so shy siwezi tembea mbele za watu hata hatua kumi sijaivua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
7. Nina bahati ya kuwa na wapenzi wanaonipenda kwa dhati sana bila kunisumbua sumbua ila hiyo hali inanifanyaga nione kama kuna kitu kimejificha ambacho wako benefited kwangu hivyo nitamchimba mpaka mwisho wa siku mahusiano yatakufa maana kutakuwa hakuna maelewano mazuri tena [emoji846][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nataka kujua...hili ni tatizo la kisaikolojia au ni namna mtazamo wa mtu ulivyo, waungwana hebu tusaidiane hapo!
Vipo vingi hivi ni baadhi tu[emoji846]