Hivi haka kaugonjwa ni kangu peke yangu au tuko wengi?

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,001
Reaction score
2,010
Kuna ka hali fulani ka wasiwasi huwa kananipata....ambacho deeply hakuna sababu ya msingi ya wewe kufanya hivyo....

Mambo yenyewe ni kama yafuatayo...

1. Hata niwe na simu inakaa na charge muda mrefu kiasi gani siwezi washa data on kwa muda ambao situmii wasiwasi charge inaweza kuisha muda wowote[emoji1787]

2. Nikiwa karibu na umeme simu ikifika hata asilimia 80, kama siitumii nitaweka charge napenda kuona 100% on my phone [emoji1787][emoji1787]

3. Nikifunga mlango wangu nikiwa natoka, nikipiga hatua kadhaa najua kabisa nimefunga ila siwezi pata amani mpaka nihakikishe kama nimefunga kweli hivyo lazima nirudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

4. Nikiwa na pesa nyingi on my wallet, siwezi kuona raha ya kutumia...kuna kale kafilling kananuambia huwezi maliza hii hela sasa hv...hivyo always naonaga vitu kwangu havinifurahishi tofauti nikiwa na balance ndogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

5. Nikivaa nguo mpya nakuwa uncomfortable [emoji1787][emoji1787][emoji1787] najiona kama kolo (Mchamba) pia nahisi watu wote wananiona hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

6. Napenda sana watu wakivaa miwani ya urembo ila upande wangu nikivaa nakuwa so shy siwezi tembea mbele za watu hata hatua kumi sijaivua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

7. Nina bahati ya kuwa na wapenzi wanaonipenda kwa dhati sana bila kunisumbua sumbua ila hiyo hali inanifanyaga nione kama kuna kitu kimejificha ambacho wako benefited kwangu hivyo nitamchimba mpaka mwisho wa siku mahusiano yatakufa maana kutakuwa hakuna maelewano mazuri tena [emoji846][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nataka kujua...hili ni tatizo la kisaikolojia au ni namna mtazamo wa mtu ulivyo, waungwana hebu tusaidiane hapo!

Vipo vingi hivi ni baadhi tu[emoji846]
 
Hiyo namba 3 tunafanana.

Sema ikizidi sana inasababisha OCD.

Screenshot_20220219-102650_Chrome.jpg
 
2. Nikiwa karibu na umeme simu ikifika hata asilimia 80, kama siitumii nitaweka charge napenda kuona 100% on my phone [emoji1787][emoji1787]

3. Nikifunga mlango wangu nikiwa natoka, nikipiga hatua kadhaa najua kabisa nimefunga ila siwezi pata amani mpaka nihakikishe kama nimefunga kweli hivyo lazima nirudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

4. Nikiwa na pesa nyingi on my wallet, siwezi kuona raha ya kutumia...kuna kale kafilling kananuambia huwezi maliza hii hela sasa hv...hivyo always naonaga vitu kwangu havinifurahishi tofauti nikiwa na balance ndogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa sehemu hizo nilizoMark zinaonyesha kabisa una ugonjwa wa Obsessive –compulsive Disorder (OCD) huu ni ugonjwa wa akili na kitabia ambapo mtu mwenye hali hii hua anajisikia uhitaji wa kufanya jambo Fulani mara nyingi kwa kurudia rudia. Watu wenye tatizo hili hua na tabia zzifuatazo:-

-Kuogopa kufanya ngono
-Kuogopa kupoteza vitu
-Kupenda kuosha mikono mara kwa mara
-Kuwa mkali kwa watu wengine ajili ya tabia zao
-Kujihisi kutokupendwa na kukataliwa
Uoga (anxiety)
-Kupenda kupangilia vitu katika mtindo Fulani
-Kuhifadhi viyu vya zamani hata kama havina umuhimu (eg. Makaratasi)
-Kupenda kutafuta uthibitisho wa kitu, kama kafunga mlango atarudi kutizama tena kama mlango kafunga kkweli

Kwakua OCD inaendana na hali ya mtu kua obsessed na kitu kimoja na kukirudia rudia hali hii inafanya watu wenye tatizo hili kuzama kabisa kwenye the so called Mapenzi. Akiwa nawe atataka uwe nae muda wote, muda wote ataruadia rudia kukwambia anakupenda
Mimi pia ni muhanga wa jambo hili sems limechanganyikana na Demisexuality
 
7. Nina bahati ya kuwa na wapenzi wanaonipenda kwa dhati sana bila kunisumbua sumbua ila hiyo hali inanifanyaga nione kama kuna kitu kimejificha ambacho wako benefited kwangu hivyo nitamchimba mpaka mwisho wa siku mahusiano yatakufa maana kutakuwa hakuna maelewano mazuri tena [emoji846][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii namba 7 imesababisha wiki iliyopita nimkatie kabisa mawasiliano demu wangu mmoja na nadhani sitaki ata kumsikia tena, licha ya kumpenda. Yeye haiwezi kupita wiki tukiwa na amani! Yaani lazima atatafuta vijisababu, atachimba chimba, atafanya kila namna mpaka tugombane! Mara ataanza kulalamika simpendi, mara anahisi nataka kumuacha, mara anahis nna mtu mwingine, yaani ilimradi tu tutibuane... 🙁
 
Aisee asante sana. Yaani hapa umemuelezea huyo demu kabisa niliemtaja hapo juu. Kwasiku anaweza kutuma meseji zaidi ya 50 za nakupenda. Tatizo anataka kila akituma na mimi nijibu, nisipojibu moja tu.. ugomvi tayari! 🙌
 
Kwa sehemu hizo nilizoMark zinaonyesha kabisa una ugonjwa wa Obsessive –compulsive Disorder (OCD) huu ni ugonjwa wa akili na kitabia ambapo mtu mwenye hali hii hua anajisikia uhitaji wa kufanya jambo Fulani mara nyingi kwa kurudia rudia. Watu wenye tatizo hili hua na tabia zzifuatazo:-

-Kuogopa kufanya ngono
-Kuogopa kupoteza vitu
-Kupenda kuosha mikono mara kwa mara
-Kuwa mkali kwa watu wengine ajili ya tabia zao
-Kujihisi kutokupendwa na kukataliwa
Uoga (anxiety)
-Kupenda kupangilia vitu katika mtindo Fulani
-Kuhifadhi viyu vya zamani hata kama havina umuhimu (eg. Makaratasi)
-Kupenda kutafuta uthibitisho wa kitu, kama kafunga mlango atarudi kutizama tena kama mlango kafunga kkweli

Kwakua OCD inaendana na hali ya mtu kua obsessed na kitu kimoja na kukirudia rudia hali hii inafanya watu wenye tatizo hili kuzama kabisa kwenye the so called Mapenzi. Akiwa nawe atataka uwe nae muda wote, muda wote ataruadia rudia kukwambia anakupenda
Mimi pia ni muhanga wa jambo hili sems limechanganyikana na Demisexuality
Aisee kumbe issue iko so serious [emoji45]
 
Hii namba 7 imesababisha wiki iliyopita nimkatie kabisa mawasiliano demu wangu mmoja na nadhani sitaki ata kumsikia tena, licha ya kumpenda. Yeye haiwezi kupita wiki tukiwa na amani! Yaani lazima atatafuta vijisababu, atachimba chimba, atafanya kila namna mpaka tugombane! Mara ataanza kulalamika simpendi, mara anahisi nataka kumuacha, mara anahis nna mtu mwingine, yaani ilimradi tu tutibuane... [emoji853]
Duh [emoji53]
 
Kuna ka hali fulani ka wasiwasi huwa kananipata....ambacho deeply hakuna sababu ya msingi ya wewe kufanya hivyo....

Mambo yenyewe ni kama yafuatayo...

1. Hata niwe na simu inakaa na charge muda mrefu kiasi gani siwezi washa data on kwa muda ambao situmii wasiwasi charge inaweza kuisha muda wowote[emoji1787]

2. Nikiwa karibu na umeme simu ikifika hata asilimia 80, kama siitumii nitaweka charge napenda kuona 100% on my phone [emoji1787][emoji1787]

3. Nikifunga mlango wangu nikiwa natoka, nikipiga hatua kadhaa najua kabisa nimefunga ila siwezi pata amani mpaka nihakikishe kama nimefunga kweli hivyo lazima nirudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

4. Nikiwa na pesa nyingi on my wallet, siwezi kuona raha ya kutumia...kuna kale kafilling kananuambia huwezi maliza hii hela sasa hv...hivyo always naonaga vitu kwangu havinifurahishi tofauti nikiwa na balance ndogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

5. Nikivaa nguo mpya nakuwa uncomfortable [emoji1787][emoji1787][emoji1787] najiona kama kolo (Mchamba) pia nahisi watu wote wananiona hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

6. Napenda sana watu wakivaa miwani ya urembo ila upande wangu nikivaa nakuwa so shy siwezi tembea mbele za watu hata hatua kumi sijaivua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

7. Nina bahati ya kuwa na wapenzi wanaonipenda kwa dhati sana bila kunisumbua sumbua ila hiyo hali inanifanyaga nione kama kuna kitu kimejificha ambacho wako benefited kwangu hivyo nitamchimba mpaka mwisho wa siku mahusiano yatakufa maana kutakuwa hakuna maelewano mazuri tena [emoji846][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nataka kujua...hili ni tatizo la kisaikolojia au ni namna mtazamo wa mtu ulivyo, waungwana hebu tusaidiane hapo!

Vipo vingi hivi ni baadhi tu[emoji846]
Namba 2 tuko pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Mi napenda sana kukaa kaunta nikiwa bar,

2. Sikai bar ambayo haina Kilimanjaro kubwa.

3. Sina amani nikiwa bar bila kukaa karibu au kuwaona mashabiki wa Utopolo na misukule yao.

4. Sikai kaunta au bar bila mhudumu au wahudumu wakali na manyakee ziwepo, raha sana.

5. Weekend hasa jumamosi naenda bar saa 5, hasa siku wababe Simba the internationals wakiwa na game,

6. Napenda sana vishundu na chuchuzi.

7. Napenda mishkaki ng'ombe nikisikia harufu yake hadi naumwa.

8. Nisipokuwa na Laki na nusu minimum mfukoni siendi bar next level na sitoki na demu wa maana sana sana ntaosha rungu kwa kisokolokwinyo underground.

9. Najisikia raha sana kusalimia watu naamini huu ndio utashi halisi wa binadamu.

10. Naheshimu na kuthamini watu hata kama uwe na attitude ntakusalimia tu

11. Nipo Manchester City kama mshabiki kwa mkopo hadi hapo Arsenal itakapo fufuka top 2 au 3.

12. Nimependa Chama kusafiri na timu akasaidie game reading na analysis ya opponent wetu

13. Naamini kesho Simba SC ndio hatima yetu ya kuvuka au kutovuka makundi.

NB: Usikwazike wkend muhimu kufurahi
 
Hii namba 7 imesababisha wiki iliyopita nimkatie kabisa mawasiliano demu wangu mmoja na nadhani sitaki ata kumsikia tena, licha ya kumpenda. Yeye haiwezi kupita wiki tukiwa na amani! Yaani lazima atatafuta vijisababu, atachimba chimba, atafanya kila namna mpaka tugombane! Mara ataanza kulalamika simpendi, mara anahisi nataka kumuacha, mara anahis nna mtu mwingine, yaani ilimradi tu tutibuane... 🙁
Uwiiii mbona Kama ni mimi 🤭
 
Back
Top Bottom