Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Kaka una amini uwepo wa vitu usivyo viona kwa macho ? Wala kuvihisi ?
Uwepo wa vitu gani nisivyo viona wala kuvihisi?

Sijawahi kukataa uwepo wa Mungu kwa sababu sijamuona wala kumuhisi, unaelewa hilo?

Unaelewa kwamba nakataa uwepo wa Mungu kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe, si kwa sababu sijamuona kwa macho wala kumuhisi.

Unaelewa hilo?

Unaelewa kwamba swali lako kwangu ni irrelevant?

Kwa sababu naweza kukuambia nakubali nyumba yangu ipo nyumbani, wakati mimi nipo kazini siioni sasa hivi.

Lakini, kukubali huku hakuna contradiction.

Kinacho matter si kwamba kitu kinaonekana au hakionekani, naweza kukihisi au siwezi kukihisi.

Kinachomatter ni, jambo lina logical consistency? Lina contradiction?

Mungu wako hana logical consistency, ana contradiction.

Habari za kama anaonekana na kuhisika kwangu si muhimu, sijapinga Mungu kwa sababu sijamuona, unanihoji kwa hoja ambayo sijawahi kuitaja.

Unataka kuleta pingamizi ambalo simo humo.

Mimisi wale wanaosema siamini Mungu yupo mpaka uniletee nimuone hapa.

Nakwambia sikubali Mungu yupo, kwa sababu dhana ya kuwapo kwake inajipinga yenyewe hata kabla sijasema lolote.

Unaelewa tofauti hapo?
 
Jiwe lina uhai?
 
hahaha huyo Allah wako basi atakuwa ni mwehu ""..jua halizunguki dunia " hilo liko wazi "" na hii ndio sabbu ambayo inayotufanya tusiamini kuwa mungu yupo kwa sbabu chicho kitabu kimeshindwa hata kujua kwamba Jua halitembei ..Bali zitembeazo ni sayari na mwezi
 
hahaha weweejamaa Sikh sio nyingi utakuwa kichaa.. haya hebu tuambie mbingu ilipo "".. tunataka kuijua
 
Quran inasema Allah kuna watu kawaziba macho wasimjue,kawafunga mioyo wasimjue, halafu atawahukumu kwa kutomjua.

Huyo Allah ni Mungu wa haki au hadithi ya uchizi?

Eti Mungu anakuzuia usimjue, halafu anakuhukumu kwa kuwa hujamjua!
ha haha haha
 


Kaka jibi swali kwanza kisha uulize mengine.

Pili,hujui kulitumia tamko "dhana" ipasavyo,huwezi kutumia tamko lenye kumaanisha kutokuwa na uhakika kwa kukusudia uhakika.
 
Watu wa JF watajisomea wenyewe na kujua kwamba nabishana na kichaa anayesema jiwe lina uhai.


Sasa kichaa mimi au wewe ambae unashindwa kuthibitisha kutokuwa na uhai kwa jiwe ?

Kaka jibu swali langu nililo kuuliza "Je una amini uwepo wa vitu visivyo onekana kwa macho au usivyo hisi ?".

Jibu lilikuwa rahisi ni "Ndio au Hapana"
 


Hahaha kaka unanipa raha sana. Jua linatembea na lina vituo vyake kwavyo hupitia yaani. Jua linaizungua dunia.

Kaka wewe sita shangaa ukiniambia au una amini ya kuwa kuna mtu amewahi kwenda mwezini.

Sayansi ya anga niliachaga kuiamini tangu zamani sababu ya udhaifu wake na ungo uliokithiri.
 


Kaka jibu swali langu kwanza kisha nikulete huku unapotaka tufike.
 
MUNGU YUPO Mmoja ambaye hujidhihirisha kwa baadhi ya watu. Ila kuna Shetani nae huwa anajigeuza na kujifanya ni MUNGU.

Ila MUNGU wa kweli huwatokea baadhi ya watu haijalishi rangi wala kabila almradi umche na umwamini japo ni kweli kwa maandiko tunathibitishiwa kuwa aliwatokea wengi kama kina Enok,Nuhu, Ayubu ambae hakuwa myahudi n.k hivo mjue hata babu zetu wengi wa zamani kuna wengi tu walitokewa na wakaishi na MUNGU ila haijaandikwa mimi naamini hivo.
 
Ukweli pia mjue mababu zetu wengi waliabudu miungu na Mizimu hivo Hapo tukiri tu wengi wao walikuwa kwenye upotevu
 
Mungu gani mbaguzi anajidhihurisha kwa baadhi ya watu na hajidhihiriahi kwa watu wengine?

Huyo Mungu au hadithi ya mbaguzi?

Ameshindwa kujidhihirisha kwa wote kwa namna ambayo haitaacha utata kwamba yupo?
 
Ukweli pia mjue mababu zetu wengi waliabudu miungu na Mizimu hivo Hapo tukiri tu wengi wao walikuwa kwenye upotevu
Sasa hugu Mungu wa Biblia na Quran anayeabudiwa leo, na hao miungubwa mizimu, kimsingi, wana tofauti gani?

Wote hawawezi kuthibitishika kwamba wapo kweli na si hadithi tu.

Wana tofauti gani?
 

proved fact...uachege ujinga basi we mfuasi wa jihadist mohamed

Asteroids are minor planets, especially those of the inner Solar System. The larger ones have also been called planetoids. These terms have historically been applied to any astronomical object orbiting the Sun that did not show the disc of a planet and was not observed to have the characteristics of an active comet. As minor planets in the outer Solar System were discovered and found to have volatile-based surfaces that resemble those of comets, they were often distinguished from asteroids of the asteroid belt.[1] In this article, the term "asteroid" refers to the minor planets of the inner Solar System including those co-orbital with Jupiter.

There are millions of asteroids, many thought to be the shattered remnants of planetesimals, bodies within the young Sun's solar nebula that never grew large enough to become planets.[2] The large majority of known asteroids orbit in the asteroid belt between the orbits of Mars and Jupiter, or are co-orbital with Jupiter (the Jupiter trojans). However, other orbital families exist with significant populations, including the near-Earth objects. Individual asteroids are classified by their characteristic spectra, with the majority falling into three main groups: C-type, M-type, and S-type. These were named after and are generally identified with carbon-rich, metallic, and silicate (stony) compositions, respectively. The size of asteroids varies greatly; the largest is almost 1,000 km (625 mi) across.
 
Panae kazi Sana hapa kumfanya mwafrika aache kujipendekeza kwenye dini za mataifa mwingine, yapasa kujitambua sasa, kufanya yetu na si ya kwao
Kama hadi madawa,nguo na teknolojia vyote tunategemea mataifa mengine ndio uone ajabu kutumia dini za mataifa mengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…