Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Wafungwa wanaogopa kutoka gerezani, ijapo wameletewa ufunguo wa kutokea
Bahati nzuri mi sio mfungwa kama unavyofikiria. NDIO MAANA NAWEZA KUJIULIZA KWANINI HAKUNA MTUME AU NABII MWAFRIKA. AM FREETHINKER
 
Roho ya mpinga KRISTO hiyo iko kazini
Nyapara wa yahudi,umekuja na humu pia???? Hebu tuacheni bana, sisi tumetumwa kwa wale wa nyumba ya Khemet, nyinyi mlishaukana ubini, damu, na asili zenu, mkawa wayahudi wa uongo, kaeni mbali nasi, tena onyo, bwana Mungu na miungu yetu itakupigeni kwa laana, hakika mkisimama katika njia yetu
 
Wafungwa wanaogopa kutoka gerezani, ijapo wameletewa ufunguo wa kutokea
Mfungwa wa kwanza ni mshika dini maana huyo amekubali kutotumia akili yake na kuruhusu watu wachache wafikirie na kuamua kwa niaba yake tena juu ya hatima ya maisha yake. Kukumbatia mafundisho usiyoyafahamu eti kisa umerithi kutoka kwa wazazi ni kukubali kujiwekea kikomo cha kufikiri na kuamua. Ili ujue ukweli wa hizi dini ni lazima kwanza utoke nje ya hiyo minyororo uwe huru kuyaangalia mambo kwa upana wake. Naamini katika Mungu Muumba na si katika Dini.
 
Wewe ndio aina ya watu na fikra zitakazokomboa bara la Africa
 
Nyapara wa yahudi,umekuja na humu pia???? Hebu tuacheni bana, sisi tumetumwa kwa wale wa nyumba ya Khemet, nyinyi mlishaukana ubini, damu, na asili zenu, mkawa wayahudi wa uongo, kaeni mbali nasi, tena onyo, bwana Mungu na miungu yetu itakupigeni kwa laana, hakika mkisimama katika njia yetu
Hiyo miungu yenu mabitozi wanaogopa hata kuku, wataanzaje kunipa kwa laana?
Sasa ninailaani hiyo miungu yenu, na madhabahu zake, na makuhani wake, na sadaka zote mlizozitoa, na ninayavunja na maashera yenu, na vyote nilivyokuwa chini ya miungu hiyo vimelaaniwa
 
Naona waislam wanaabudu kivyao na wakirsto wanaabu vyao, sasa hatakuwaje mungu mmoja anayeabudiwa tofauti, ukiangalia unapata jawabu kuwa mungu hayupo.

Hapo kuna Mungu na shetani wanao abudiwa. Ni wajibu wako kuchukua hatua maana Mungu alikupa akili, wewe si hayawani kujua mchele ni upi na pumba ni zipi?
 
Hiyo miungu yenu mabitozi wanaogopa hata kuku, wataanzaje kunipa kwa laana?
Sasa ninailaani hiyo miungu yenu, na madhabahu zake, na makuhani wake, na sadaka zote mlizozitoa, na ninayavunja na maashera yenu, na vyote nilivyokuwa chini ya miungu hiyo vimelaaniwa
Ashera ndio mungu mke wa Yahweh, hivi unaijua hilo? Mnakana miungu, biblia inaitambua, mbona katika ndoa, katika ndoa unaitambua nafasi ya mwanamke?
katika uungu unaikana??? Nyinyi mlisha laaniwa tayari ona sasa mnafungisha ndoa wasenge na wasagaji
 
Dhana ya Mungu ilikuweko tangu enzi na enzi, dhana hii ilijitokeza kukidhi mahitaji ya watu husika kutokana na mazingira na asili zao, wakati huo kabla ya Talmudi, biblia, Wala Qurani kuweko, ni staarabu kongwe Za Africa, Uajemi, Mesopotamia, Uchina na kusini mwa bara la America ndio dhana ya uungu, dini na imani zilikoshamiri, kukiwa na itikadi Za miungu wengi na Mungu mkuu wa Miungu, Ambayo hatimaye ikaazalisha dhana ya Mungu mmoja Ama ATEN kwa mara ya Kwanza kunako Misri ya kale hapa hapa bara la Africa katika utawala wa Farao Akhenaten. Hii namna ya Mungu mmoja, wa kiyahudi, kikiristo na wa Kiislamu ni tengenezo changa tu la karibuni, Ambalo agenda yake kimsingi ilikuwa ya kisiasa na utawala, na hivyo kwa mara ya kwanza kabisa na awali ustaarabu wa binadamu chini yake ukashuhudia majanga mkubwa ya ubaguzi wa rangi, utumwa, dhuluma ya kiuchumi na vita kote duniani...
ndugu msomaji, je una mchango gani, kukabiliana na hali hiii
Asanteni, na karibuni
Hivi unapo sema au kutumia tamko "Dhana" una maanisha nini ?
 
Back
Top Bottom