Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Mimi naamini mungu yupo ndani yangu. Si mungu Wa waarabu wala Israel Ahsante.
Ila ndio mpo wachache sana sente uelewa huo, wengi tupo busy na instagram hahaha hayo ya Mungu tunajua ni jitu kubwa limevaa nguo nyeupe lipo angani, lina minguvuuuu
 
Bahati nzuri mi sio mfungwa kama unavyofikiria. NDIO MAANA NAWEZA KUJIULIZA KWANINI HAKUNA MTUME AU NABII MWAFRIKA. AM FREETHINKER
Si mchezo hapo, maana na mchina nae atajiuliza hivyo hivyo na mzungu nae atajiuliza hivyo na hadi muhindi pia atajiuliza hivyo hivyo.
 
Mungu na miungu iko, hii haihitaji hata ushuhuda wa miaka hiyo ya kina Musa, Yakobo, Isihaka na Ibrahim. Maisha ya Yesu hapa miaka 2000 tu iliyopita ni ushahidi tosha kuwa kuna miungu na Mungu mkuu. Hata maisha haya tuishio leo uko ushahidi kuna Mungu na miungu. Wako wanao mtegemea Mungu Mkuu na wategemeao miungu, na tofauti za kiroho na kimwili katika hawa ziko wazi kwa kila anayetaka kuzijua.
Asante ndugu
 
Mfungwa wa kwanza ni mshika dini maana huyo amekubali kutotumia akili yake na kuruhusu watu wachache wafikirie na kuamua kwa niaba yake tena juu ya hatima ya maisha yake. Kukumbatia mafundisho usiyoyafahamu eti kisa umerithi kutoka kwa wazazi ni kukubali kujiwekea kikomo cha kufikiri na kuamua. Ili ujue ukweli wa hizi dini ni lazima kwanza utoke nje ya hiyo minyororo uwe huru kuyaangalia mambo kwa upana wake. Naamini katika Mungu Muumba na si katika Dini.
Watu wasioamini Mungu nao pia huona wanaoamini Mungu ni kwa sababu ya kurithi tu hiyo imani ya kuna Mungu.
 
Dhana ya Mungu ilikuweko tangu enzi na enzi, dhana hii ilijitokeza kukidhi mahitaji ya watu husika kutokana na mazingira na asili zao, wakati huo kabla ya Talmudi, biblia, Wala Qurani kuweko, ni staarabu kongwe Za Africa, Uajemi, Mesopotamia, Uchina na kusini mwa bara la America ndio dhana ya uungu, dini na imani zilikoshamiri, kukiwa na itikadi Za miungu wengi na Mungu mkuu wa Miungu, Ambayo hatimaye ikaazalisha dhana ya Mungu mmoja Ama ATEN kwa mara ya Kwanza kunako Misri ya kale hapa hapa bara la Africa katika utawala wa Farao Akhenaten. Hii namna ya Mungu mmoja, wa kiyahudi, kikiristo na wa Kiislamu ni tengenezo changa tu la karibuni, Ambalo agenda yake kimsingi ilikuwa ya kisiasa na utawala, na hivyo kwa mara ya kwanza kabisa na awali ustaarabu wa binadamu chini yake ukashuhudia majanga mkubwa ya ubaguzi wa rangi, utumwa, dhuluma ya kiuchumi na vita kote duniani..

*ikumbukwe pia wakati huo wakazi na wenyeji wa maeneo yote hayo walikuwa watu weusi, Bara la Africa likiwa limeungana na bara Asia, weusi walifika hadi uchina na kupandikiza staarabu Za awali huko, angalia wajenzi wa majengo ya kale wote walikuwa wa asili na mbari ileile. hadi Stonehenge, hadi Gautama Buddha alikuwa mtu mweusi. Fumbo la dunia liko hapo, mweusi amenyimwa nyumba ya ibada yake kwa makusudi, kwani wanajua Tunisia ibada asilia hekaluni mwetu, dunia tutairudisha katika utaratibu asilia na sheria takatifu Za miungu.

ndugu msomaji, je una mchango gani, kukabiliana na hali hiii
Asanteni, na karibuni
Kuna wakati huwa nawaza kama wewe japo huwa tunatofautiana kidogo huwa nawaza kwa nini waafrica tusiwe na dini yetu, kwanini hatujawaphi kuta na dini yetu, kwanini tunaamini dini za wazungu na waarabu? sometimes naona kama mzee wa upako, gwajima, tb joshwa labda hizo ndizo dini mpya za ki Africa.
 
Tukimaliza kuanzisha dini yetu waafrika tutaanzisha na dini za makabila yetu na tunaweza kufikia dini za koo zetu na hadi za familia zetu.
 
Dhana ya Mungu ilikuweko tangu enzi na enzi, dhana hii ilijitokeza kukidhi mahitaji ya watu husika kutokana na mazingira na asili zao, wakati huo kabla ya Talmudi, biblia, Wala Qurani kuweko, ni staarabu kongwe Za Africa, Uajemi, Mesopotamia, Uchina na kusini mwa bara la America ndio dhana ya uungu, dini na imani zilikoshamiri, kukiwa na itikadi Za miungu wengi na Mungu mkuu wa Miungu, Ambayo hatimaye ikaazalisha dhana ya Mungu mmoja Ama ATEN kwa mara ya Kwanza kunako Misri ya kale hapa hapa bara la Africa katika utawala wa Farao Akhenaten. Hii namna ya Mungu mmoja, wa kiyahudi, kikiristo na wa Kiislamu ni tengenezo changa tu la karibuni, Ambalo agenda yake kimsingi ilikuwa ya kisiasa na utawala, na hivyo kwa mara ya kwanza kabisa na awali ustaarabu wa binadamu chini yake ukashuhudia majanga mkubwa ya ubaguzi wa rangi, utumwa, dhuluma ya kiuchumi na vita kote duniani..

*ikumbukwe pia wakati huo wakazi na wenyeji wa maeneo yote hayo walikuwa watu weusi, Bara la Africa likiwa limeungana na bara Asia, weusi walifika hadi uchina na kupandikiza staarabu Za awali huko, angalia wajenzi wa majengo ya kale wote walikuwa wa asili na mbari ileile. hadi Stonehenge, hadi Gautama Buddha alikuwa mtu mweusi. Fumbo la dunia liko hapo, mweusi amenyimwa nyumba ya ibada yake kwa makusudi, kwani wanajua Tunisia ibada asilia hekaluni mwetu, dunia tutairudisha katika utaratibu asilia na sheria takatifu Za miungu.

ndugu msomaji, je una mchango gani, kukabiliana na hali hiii
Asanteni, na karibuni
Kama ulizaliwa between 1985 to 1988 in Kampala basis pasi na Shaka yoyote utakuwa mtoto wa nje wa baba yangu coz by that time baba angu alikuwa anafanya masters yake at Makerere Univ and he says he had a kid there ...Nimesema hivyo cause the way u have written it is as if u were reading my mind ..we think the same ..we must be coming from the same source
 
Tukimaliza kuanzisha dini yetu waafrika tutaanzisha na dini za makabila yetu na tunaweza kufikia dini za koo zetu na hadi za familia zetu.
Mh hilo nato neno, basi wacha tuendelee na hizi hizi za wakoloni mkuu
 
Ukiona watu wanakufa na kuzaliwa jua Mungu yupo.Ukijifunza wewe mwenyewe ndo utajua yuko aliyekufanya ukawepo ivyo ulivyo.Sasa dini sio Mungu bali ni taratibu za kumwabudu uyo Mungu.sasa hizi taratibu zinaweza kua vyovyote kutokana na madhara ya zama za dunia na muingiliano wa jamii.Kwaiyo ata afrika tunaweza kua na dini zetu achilia mbali zile zilizokuepo zaman tukaziacha ilimradi ziwe ni dini zakumwabudu Mungu nasio miungu.
 
Si mchezo hapo, maana na mchina nae atajiuliza hivyo hivyo na mzungu nae atajiuliza hivyo na hadi muhindi pia atajiuliza hivyo hivyo.
Ukijiuliza hivyo itasaidia kutambua hikma iliyopo hapo.
 
unadhania haya ni masihara, kuna wenzio walikufa huku wamesimama, kutukana vitu wasivyovijua, endelea tu
Hiyo midoli yenu itawaueni nyie wenyewe, mizimu yote pumbavu zenu. Tena kuna matusi mengine nimeitukana hiyo mizimu yenu hayaandikiki hapa JF.
Mizimu yote ni mafala
 
Dhana ya Mungu ilikuweko tangu enzi na enzi, dhana hii ilijitokeza kukidhi mahitaji ya watu husika kutokana na mazingira na asili zao, wakati huo kabla ya Talmudi, biblia, Wala Qurani kuweko, ni staarabu kongwe Za Africa, Uajemi, Mesopotamia, Uchina na kusini mwa bara la America ndio dhana ya uungu, dini na imani zilikoshamiri, kukiwa na itikadi Za miungu wengi na Mungu mkuu wa Miungu, Ambayo hatimaye ikaazalisha dhana ya Mungu mmoja Ama ATEN kwa mara ya Kwanza kunako Misri ya kale hapa hapa bara la Africa katika utawala wa Farao Akhenaten. Hii namna ya Mungu mmoja, wa kiyahudi, kikiristo na wa Kiislamu ni tengenezo changa tu la karibuni, Ambalo agenda yake kimsingi ilikuwa ya kisiasa na utawala, na hivyo kwa mara ya kwanza kabisa na awali ustaarabu wa binadamu chini yake ukashuhudia majanga mkubwa ya ubaguzi wa rangi, utumwa, dhuluma ya kiuchumi na vita kote duniani..

*ikumbukwe pia wakati huo wakazi na wenyeji wa maeneo yote hayo walikuwa watu weusi, Bara la Africa likiwa limeungana na bara Asia, weusi walifika hadi uchina na kupandikiza staarabu Za awali huko, angalia wajenzi wa majengo ya kale wote walikuwa wa asili na mbari ileile. hadi Stonehenge, hadi Gautama Buddha alikuwa mtu mweusi. Fumbo la dunia liko hapo, mweusi amenyimwa nyumba ya ibada yake kwa makusudi, kwani wanajua Tunisia ibada asilia hekaluni mwetu, dunia tutairudisha katika utaratibu asilia na sheria takatifu Za miungu.

ndugu msomaji, je una mchango gani, kukabiliana na hali hiii
Asanteni, na karibuni
Hiyo dhana ya Mungu unayosema ilikuwepo tangu enzi unaweza kuelezea ilianzaje?
 
Back
Top Bottom