mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wewe haujitambui.Watu hawaijui kesho kwa sababu ya entropy.
The second law of thermodynamics, in context, dictates that entropy tends to increase with time. In closed systems, with the passage of time, we are always moving from a lower entropy state to a higher entropy state.
A higher entropy state is more unpredictable.
Ni kama kuwa na computation ambayo ina trillions of possible different outcomes, halafu unaambiwa uchague moja ambayo itakuja kutokea.
Obviously complexity ya wingi wa outcomes itakufanya uone ugumu kujua litakalotokea.
Kwa hiyo, hatujui kesho kwa sababu ya entropy kuongezeka na muda kama ilivyoelezewa katika Second Law of Thermodynamics.
Kama ulitafuta jibu la Mungu, halipo.
In fact, kutokujua kesho kunaonesha Mungu hayupo kuliko kunavyoonesha Mungu yupo.
Kwa sababu, Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, asingetujuza kama kuna kesho na hapo hapo kuwa mchoyo wa kutunyima kujua kesho.
Ni Nani? Hata asili yako huijui.
kumpinga mungu kuwa hayupo.
Hakufanyi kuwa mungu hayupo.
Kwa sababu huna tofauti na sisi tunaoamini mungu yupo.
Umezaliwa kama sisi na utakufa kama sisi.