Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Ujinga na uongo ambao hauwezi kuthibitishika na unajipinga wenyewe.
HAUTAKI KUAMINI KUWA ASILI YA MTU NI UDONGO NA KISHA SHAHAWA.?
UONGO WA QURAN UPO WAPI.
HAYA NIAMBIE WEWE ASILI YAKO NI NINI?
 
HAUTAKI KUAMINI KUWA ASILI YA MTU NI UDONGO NA KISHA SHAHAWA.?
UONGO WA QURAN UPO WAPI.
HAYA NIAMBIE WEWE ASILI YAKO NI NINI?
First thing first. You write in all caps.

In other words, you are a semi literate with nonsense of netiquette.

I can understand why we cannot understand each other.
 
Kwa nini swali liwe "nani" ?

Nikikuuliza unitajie rangi ya wimbo wa taifa wa Tanzania, utaweza kunitajia?
Kaka punguza utoto aisee tunajadili mambo ya kielimu,na hii tabia imekuwa sugu sana kwako.Badilika ili ufungue milango yakuingia maarifa sahihi kwa maana ufahamu sahihi wa mambo.

Jibu kwanza swali nililo kuuliza kisha nitakujibu juu ya rangi taifa.

Ningekuwa na uwezo ningewakataza watu kusoma Falsafa,hii elimu ni mtihani mkubwa waliopewa binadama wengi wa zama hizi,yaani falsafa huwafanya binadamu kuwa wajinga zaidi na kutokujua mipaka yao ya kutumia akili na kuhoji.
 
First thing first. You write in all caps.

In other words, you are a semi literate with nonsense of netiquette.

I can understand why we cannot understand each other.
Ohoooo.
Umegeuka MZUNGU SASA. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .acha JANJA JANJA .
 
First thing first. You write in all caps.

In other words, you are a semi literate with nonsense of netiquette.

I can understand why we cannot understand each other.
TUAMBIE ASILI YAKO NI IPI ILI TUKUTOFAUTISHE NA SISI TUNAOAMINI TUMEUMBWA NA MUNGU.
WAKATI SISI NA WEWE TUKO SAWAAA.
 
Kaka punguza utoto aisee tunajadili mambo ya kielimu,na hii tabia imekuwa sugu sana kwako.Badilika ili ufungue milango yakuingia maarifa sahihi kwa maana ufahamu sahihi wa mambo.

Jibu kwanza swali nililo kuuliza kisha nitakujibu juu ya rangi taifa.

Ningekuwa na uwezo ningewakataza watu kusoma Falsafa,hii elimu ni mtihani mkubwa waliopewa binadama wengi wa zama hizi,yaani falsafa huwafanya binadamu kuwa wajinga zaidi na kutokujua mipaka yao ya kutumia akili na kuhoji.
Nimejibiwa swali kwa swali na mimi naendeleza utamadunibwa kujibubswali kwa swali.

Ni utamaduni mzuri sana wa kuchambua mambo.

Wasomi wanauita "the Socratic Method" kwa sababu Socrates alipenda sana kuutumia.

Nimejibu swali kwa kuuliza.

Kwa nini swali liwe "nani"?

Mtu akimuuliza rangi ya wimbo wa taifa wa Tanzania ni rangi gani, utajibu nini?

Hujajibu maswali yangu.
 
Wapi umepata wazo hilo?

Kubahatisha ni nini? Kukubali kubahatisha kunakujaje?

Mtu anayeomba Mungu ili mvua inyeshe na anayetafuta chanzo cha mvua kuacha kunyesha katika mazingira ili akirekebishe, nani anabahatisha?

Ina maana hujui hata unachoandika ?

Sasa itabidi niwe natoa maana ya hoja zako neno kwa neno,kazi ambayo ni yako sio yangu,mimi jukumu langu ni kunakishi hoja zako.

Wakati ni rasilimali mzew.
 
I dont engage extensively semi literates who write in all caps.
SOMA AYA YA 12 NA 13.

UNAPOPINGA VITU UWE NA USHAHIDI.

JIPANGE UPYA.

UKIMKATAA MUNGU HUO NI UBISHI WAKO.
MUNGU YUPO NA ATAKUWEPO DAIMA.
NA KWAKE UTARUDI NA UTAHUKUMIWA NA YEYE PEPO AU MOTO.

KAMA HAUJUI ASILI YAKO USIMPINGE MUNGU.
JIULIZE WEWE NI NANI NA UMETOKA WAPI.
KWA HERI NA
AHSANTE
HOJA HUNAAA.
Screenshot_20180715-181021.jpg
 
SOMA AYA YA 12 NA 13.

UNAPOPINGA VITU UWE NA USHAHIDI.

JIPANGE UPYA.

UKIMKATAA MUNGU HUO NI UBISHI WAKO.
MUNGU YUPO NA ATAKUWEPO DAIMA.
NA KWAKE UTARUDI NA UTAHUKUMIWA NA YEYE PEPO AU MOTO.

KAMA HAUJUI ASILI YAKO USIMPINGE MUNGU.
JIULIZE WEWE NI NANI NA UMETOKA WAPI.
KWA HERI NA
AHSANTE
HOJA HUNAAA. View attachment 810070

Kaka huyu mdau anajichetua aisee,yaani hata kujua hoja zake zimejikita wapi nalo ni tatizo kwake,mtu kama huyu si wa kujadiliana.

Huyu anakariri sana fikra za watu,yaani ukimjengea hoja tu kidogo hata kama hoja ni nyepesi sana anajikanganya au anabadilisha mada sasa huu anaotufanyia ni utovu wa adabu na uhuni wa kitoto.
 
Kaka aya hizo ziko wazi. Swali je umezielewa ?

Na wapi zinajipinga ?
Aya zinasema ametengeneza vizuri umbo. Lakini mwili unapatwa na magonjwa, unakufa.

Contradiction.

Mungu akishindwa kutengeneza vizuri umbo la mtu ili mtu asipate magonjwa wala kufa?
 
Aya zinasema ametengeneza vizuri umbo. Lakini mwili unapatwa na magonjwa, unakufa.

Contradiction.

Mungu akishindwa kutengeneza vizuri umbo la mtu ili mtu asipate magonjwa wala kufa?

Ulivyokuwa mchachefu wa maarifa unachanganya kati ya ukamilifu na umbile.

Ukamilifu kitu kando na umbile ni kitu kando.

Jibu maswali niliyokuuliza hapo kabla.
 
Kwa maana nyepesi UPEPO ni kiumbe na unatii amri za Mola wake.
Hujathibitisha Mola yupo.

Unajibu swali ambalo sinauliza, swali ambalo nimeukiza hujajibu.

Sijaukiza kama upepo ninkiumbe. Nimeukiza kama upepo una uhai.

Badala ya kujibu kama upepo una uhai, unajibu kama upepo ni kiumne. Kwa nini?

Upepo una uhai?

Uhai ni nini?
 
Ulivyokuwa mchachefu wa maarifa unachanganya kati ya ukamilifu na umbile.

Ukamilifu kitu kando na umbile ni kitu kando.

Jibu maswali niliyokuuliza hapo kabla.
Mungu wako si mkamilifu? Kashindwa kuumba kiumbe kamilifu ambacho hakiugui wala kufa?

Kwa nini unakwepa maswali?
 
Un
Hujathibitisha Mola yupo.

Unajibu swali ambalo sinauliza, swali ambalo nimeukiza hujajibu.

Sijaukiza kama upepo ninkiumbe. Nimeukiza kama upepo una uhai.

Badala ya kujibu kama upepo una uhai, unajibu kama upepo ni kiumne. Kwa nini?

Upepo una uhai?

Uhai ni nini?[/QUOTE

Una matatizo ya kujumuisha mawazo kupata kupata wazo moja thabiti au hoja thabiti.

Hukuuliza Upepo una Uhai wewe ? Sasa ndio nimeilia mkazo hoja ya yule uliyemuuliza Uhai ni nini ?

Ndio nimekwambia Upepo ni kiumbe bika shaka kina uhai.

Sasa uliza swali kutokana na hoja zangu au majibu yangu.
 
Back
Top Bottom