Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Wazo zuri sana
 
[QUOT E="Tz mbongo, post: 27605772, member: 278665"]Sasa nani aliyewahi kumuona Mungu hadi useme kama ni mweupe au mweusi? nyie mnachanganya hizo harakati zenu za watu weusi kwenye masuala ya kiimani.[/QUOTE]
Kumbe, ikaweje yesu akawa Mungu?
 
Asante " una akili nyingi sana
 
hahahaa ...wa Africa tumerogwa mkuu"". papa mweusi amesha wahi kuwapo lakini " hilo linafichwa na vatcan ..hawataki watu wajue
 
asante sana ..hahaha
 
haha haha haha....Hivi uliniambiga kuwa yule lecture wako "" mlikuwa mnafanya debate mpaka akawa anakuogopa eeehh"".. Aisee aheshimiwe mzazi wa kiranga " kwakukuleta duniani "".. wewe Jamaa nikichwa mnooo""..
 
haha haha ha....Naomba nikuamkie
 
Wapi umepata wazo hilo?

Kubahatisha ni nini? Kukubali kubahatisha kunakujaje?

Mtu anayeomba Mungu ili mvua inyeshe na anayetafuta chanzo cha mvua kuacha kunyesha katika mazingira ili akirekebishe, nani anabahatisha?
Aiseee.." ifike mahala uwe unaheshimu ufahamu wako basiii"" kubishana bishana na watu wenye level ndogo ya Ku changanua mambo " nikujishushia/kujivunjia heshima " mkuu
 
Nabishana na watu wanaosema upepo ni kiumbe chenye uhai!

Upepo ni kiumbe chenye uhai, wanasema.

Wanabushana kwa dhati kabisa.
halafu na wewe unaendelea kubishana nao ..huogopi kwamba ..watakuambukiza ujinga
 
Nabishana na watu wanaosema jiwe ni kiumbe chenye uhai!

Halafu hawataki kujibu swali langu linalouliza, uhai ni nini?
achana nao hao ...nimeshasikiliza sana mawaiza yao ..huwa wanasema jua linatokaga mashariki na kwenda magharibi "".. .so usishangae kusikia kwamba " jiwe na upepo vina uhai
 
Nimefuatilia comments za wote kwenye hii thread,kwa mara nyingine tena Kiranga anaibuka mshindi.

Nyie waabudu Mungu mmeshindwa kabisa kuthibitisha uwepo wa Mungu wenu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote.
yaani " mimi nawashangaa sana "" huwa wanahoja dhaifu sana" ambazo zinatufanya sisi " wafuatiliaji wa mjadala " tubaini kwamba " Humu jf huwa kuna members ambao ni vilaza..hata kuhoji hawajui " na wakihoji basi ni hoja dhaifu "".. na wanapopatiwa hoja pia wanashindwa kujibu ".. hata wanapojibu inakuwa ni majibu dhaifu dhidi ya hoja nzito....wanakera aisee""...

mtu anasema eti upepo una uhai "" eti kaambiwa na Allah " upepo " unazaa unakula " unajamiiana " .na kufanya vitendo vyote ambavyo kiumbe hai huwa anavifanya "" kama kusikia " kunusa etc ..hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…