Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Na ndiyo maana mara zote nimekuwa nikikwambia kuwa masuala ya uwepo wa Mungu ni imani,ajabu unasema haujadili imani ila umekuwa ukitumia kama udhaifu vile suala la uwepo wa Mungu kuwa ni imani.Sasa hugu Mungu wa Biblia na Quran anayeabudiwa leo, na hao miungubwa mizimu, kimsingi, wana tofauti gani?
Wote hawawezi kuthibitishika kwamba wapo kweli na si hadithi tu.
Wana tofauti gani?
Yani hautaki suala la uwepo wa Mungu lijadilike kama suala la imani ili upate kusema hakuna uthibitisho kama kweli yupo na ndiyo maana hakuna mwenye kuweza kuthibitisha.
Sasa wewe mtu hauamini Mungu halafu unaleta mabishano ya kuwepo contradiction kwenye vitabu vya dini(maneno ya Mungu),ukibanwa unarudia unarudi kutaka ithibitishwe kwanza kama Mungu yupo.
Yani unanifurahisha kwa kweli.