Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Sasa hugu Mungu wa Biblia na Quran anayeabudiwa leo, na hao miungubwa mizimu, kimsingi, wana tofauti gani?

Wote hawawezi kuthibitishika kwamba wapo kweli na si hadithi tu.

Wana tofauti gani?
Na ndiyo maana mara zote nimekuwa nikikwambia kuwa masuala ya uwepo wa Mungu ni imani,ajabu unasema haujadili imani ila umekuwa ukitumia kama udhaifu vile suala la uwepo wa Mungu kuwa ni imani.

Yani hautaki suala la uwepo wa Mungu lijadilike kama suala la imani ili upate kusema hakuna uthibitisho kama kweli yupo na ndiyo maana hakuna mwenye kuweza kuthibitisha.

Sasa wewe mtu hauamini Mungu halafu unaleta mabishano ya kuwepo contradiction kwenye vitabu vya dini(maneno ya Mungu),ukibanwa unarudia unarudi kutaka ithibitishwe kwanza kama Mungu yupo.

Yani unanifurahisha kwa kweli.
 
proved fact...uachege ujinga basi we mfuasi wa jihadist mohamed

Asteroids are minor planets, especially those of the inner Solar System. The larger ones have also been called planetoids. These terms have historically been applied to any astronomical object orbiting the Sun that did not show the disc of a planet and was not observed to have the characteristics of an active comet. As minor planets in the outer Solar System were discovered and found to have volatile-based surfaces that resemble those of comets, they were often distinguished from asteroids of the asteroid belt.[1] In this article, the term "asteroid" refers to the minor planets of the inner Solar System including those co-orbital with Jupiter.

There are millions of asteroids, many thought to be the shattered remnants of planetesimals, bodies within the young Sun's solar nebula that never grew large enough to become planets.[2] The large majority of known asteroids orbit in the asteroid belt between the orbits of Mars and Jupiter, or are co-orbital with Jupiter (the Jupiter trojans). However, other orbital families exist with significant populations, including the near-Earth objects. Individual asteroids are classified by their characteristic spectra, with the majority falling into three main groups: C-type, M-type, and S-type. These were named after and are generally identified with carbon-rich, metallic, and silicate (stony) compositions, respectively. The size of asteroids varies greatly; the largest is almost 1,000 km (625 mi) across.

Yaani huu ujinga uliokithiri sis tunazungumzia kazi za vimondo wewe unatuletea dibaji hapa.

Uneshaambiwa kazi za vimondo ni kupiga mashetani wa kijini. Wewe unatuelezea maana ya kimondo.

Kanusha sasa kama kazi za vimondo sio kuwapiga mashetani.
 
Dhana ya Mungu ilikuweko tangu enzi na enzi, dhana hii ilijitokeza kukidhi mahitaji ya watu husika kutokana na mazingira na asili zao, wakati huo kabla ya Talmudi, biblia, Wala Qurani kuweko, ni staarabu kongwe Za Africa, Uajemi, Mesopotamia, Uchina na kusini mwa bara la America ndio dhana ya uungu, dini na imani zilikoshamiri, kukiwa na itikadi Za miungu wengi na Mungu mkuu wa Miungu, Ambayo hatimaye ikaazalisha dhana ya Mungu mmoja Ama ATEN kwa mara ya Kwanza kunako Misri ya kale hapa hapa bara la Africa katika utawala wa Farao Akhenaten. Hii namna ya Mungu mmoja, wa kiyahudi, kikiristo na wa Kiislamu ni tengenezo changa tu la karibuni, Ambalo agenda yake kimsingi ilikuwa ya kisiasa na utawala, na hivyo kwa mara ya kwanza kabisa na awali ustaarabu wa binadamu chini yake ukashuhudia majanga mkubwa ya ubaguzi wa rangi, utumwa, dhuluma ya kiuchumi na vita kote duniani..

*ikumbukwe pia wakati huo wakazi na wenyeji wa maeneo yote hayo walikuwa watu weusi, Bara la Africa likiwa limeungana na bara Asia, weusi walifika hadi uchina na kupandikiza staarabu Za awali huko, angalia wajenzi wa majengo ya kale wote walikuwa wa asili na mbari ileile. hadi Stonehenge, hadi Gautama Buddha alikuwa mtu mweusi. Fumbo la dunia liko hapo, mweusi amenyimwa nyumba ya ibada yake kwa makusudi, kwani wanajua akirejea ibada asilia hekaluni mwetu, dunia tutairudisha katika utaratibu asilia na sheria takatifu Za miungu.

ndugu msomaji, je una mchango gani, kukabiliana na hali hiii
Asanteni, na karibuni

I love you so much my dear na Ubarikiwe zaidi. Ninawaambia watu siku zote kuhusu hizi dini za kuletewa kuwa hazina faida kwetu hata kidogo na engo gaswala waliotuletea hizi dini za maboti iikuwa kueneza Imani zao sie tuue zetu. Hizi dini ni pandikizi tu na hazina faida yeyote kwetu, mitume wote ni waarab na wazungu/wayahudi, sie weusi inatuhusu nini? Angalia mtume Mohammad, yeye alikuwa mtu anayelawiti watu na kuwaua, hivi kweli Mungu anaruhusu haya, yaani mtu awe analawiti wake za watu na kuwaua halafu Mungu ampe unabii, inakuja kichwani kweli? Waafrika tunadanganywa jamani, turudi kwenye Imani zetu za asili kuabudu mizimu.
 
Mizimwi inataka viuongo vya Albino ili itupe utajiri na vyeo ila ukifanya hivyo inakuwa umevunja sheria,sasa unafikiri tufanyaje?
 
Ule ni uchawi si mizimwi na uchawi ni ushetani. Jifunze uelewe au kama vipi Uliza wazee wako watakujuza tu. Dini za ukweli ni za Afrika (mizimu), wachina (mizimu yao - Buddhism), Native Americans (mizimu), na Asians (mizimu)…..ukristo na uislam zimeletwa tu na watu.
 
kaka nimelitaja mara ngapi lakini unalikwepa tu ? Sasa huku ni kupotezeana muda mzee.
Kupotezeana muda unaleta wewe unayesema jiwe lina uhai, upepo una uhai.

Unaelewa hilo?

Unaelewa kwamba kama kuna mtu anayetakiwa kulalamika kuhusu kupotezeana muda ni mimi, si wewe?

Unaelewa kwamba unapong'ang'ania kusema jiwe lina uhai unajionesha upunguani wako hapa?
 
Yaani huu ujinga uliokithiri sis tunazungumzia kazi za vimondo wewe unatuletea dibaji hapa.

Uneshaambiwa kazi za vimondo ni kupiga mashetani wa kijini. Wewe unatuelezea maana ya kimondo.

Kanusha sasa kama kazi za vimondo sio kuwapiga mashetani.
hebu kwanza niambie maana ya shetani
naona imani yako ya kiarabu inakaribia kukutia uchizi
 
Ule ni uchawi si mizimwi na uchawi ni ushetani. Jifunze uelewe au kama vipi Uliza wazee wako watakujuza tu. Dini za ukweli ni za Afrika (mizimu), wachina (mizimu yao - Buddhism), Native Americans (mizimu), na Asians (mizimu)…..ukristo na uislam zimeletwa tu na watu.
Unatofautisha vp kati ya uchawi na kuomba mizimwi? uchawi ni nini kwani au iwe tofauti na mambo ya mizimwi?

Halafu kinachokufanya useme hizo ndio dini za kweli ni kipi? we unajua hizo imani kuomba mizimwi zimeanzaje?

Kuomba mizimwi ni imani tu kama ambavyo leo mtu anaenda kwa mganga,sasa usichanganye hayo na dini na ndiyo maana kuna watu wana dini ila pia wana imani za mizimwi na kwenda kwa waganga.
 
I love you so much my dear na Ubarikiwe zaidi. Ninawaambia watu siku zote kuhusu hizi dini za kuletewa kuwa hazina faida kwetu hata kidogo na engo gaswala waliotuletea hizi dini za maboti iikuwa kueneza Imani zao sie tuue zetu. Hizi dini ni pandikizi tu na hazina faida yeyote kwetu, mitume wote ni waarab na wazungu/wayahudi, sie weusi inatuhusu nini? Angalia mtume Mohammad, yeye alikuwa mtu anayelawiti watu na kuwaua, hivi kweli Mungu anaruhusu haya, yaani mtu awe analawiti wake za watu na kuwaua halafu Mungu ampe unabii, inakuja kichwani kweli? Waafrika tunadanganywa jamani, turudi kwenye Imani zetu za asili kuabudu mizimu.
Fafanua hii, kwa ushahidi utufungue macho
 
Unatofautisha vp kati ya uchawi na kuomba mizimwi? uchawi ni nini kwani au iwe tofauti na mambo ya mizimwi?

Halafu kinachokufanya useme hizo ndio dini za kweli ni kipi? we unajua hizo imani kuomba mizimwi zimeanzaje?

Kuomba mizimwi ni imani tu kama ambavyo leo mtu anaenda kwa mganga,sasa usichanganye hayo na dini na ndiyo maana kuna watu wana dini ila pia wana imani za mizimwi na kwenda kwa waganga.
kuomba sanamu ya myahudi nayo ni ibada ya mizimu
 
Ule ni uchawi si mizimwi na uchawi ni ushetani. Jifunze uelewe au kama vipi Uliza wazee wako watakujuza tu. Dini za ukweli ni za Afrika (mizimu), wachina (mizimu yao - Buddhism), Native Americans (mizimu), na Asians (mizimu)…..ukristo na uislam zimeletwa tu na watu.
Asante
 
Mizimwi inataka viuongo vya Albino ili itupe utajiri na vyeo ila ukifanya hivyo inakuwa umevunja sheria,sasa unafikiri tufanyaje?
Hatukubali mauaji ya albino, pili ndivyo sivyo hawakosekani kila pahala, mtu akiutumia ukweli vibaya, akaupotosha ni yeye mwenyewe, mbona Kun a wengi, wa fani mbalimbali, wan a kiuka ethics Za proffesion zao, mbona kuna mapadri na mashehe wanafanya mabaya, na maraisi wanakiuka katiba???? Ubaya ni mtu mwenyewe
 
Na ndiyo maana mara zote nimekuwa nikikwambia kuwa masuala ya uwepo wa Mungu ni imani,ajabu unasema haujadili imani ila umekuwa ukitumia kama udhaifu vile suala la uwepo wa Mungu kuwa ni imani.

Yani hautaki suala la uwepo wa Mungu lijadilike kama suala la imani ili upate kusema hakuna uthibitisho kama kweli yupo na ndiyo maana hakuna mwenye kuweza kuthibitisha.

Sasa wewe mtu hauamini Mungu halafu unaleta mabishano ya kuwepo contradiction kwenye vitabu vya dini(maneno ya Mungu),ukibanwa unarudia unarudi kutaka ithibitishwe kwanza kama Mungu yupo.

Yani unanifurahisha kwa kweli.
Mungu ni roho mzimu ni roho
 
Kiranga anayo point, hoja yetu ni kwamba na sisi tunahitaji kurejea utaratibu wetu ambao unasadifu asili na mahitaji yetu
 
kuomba sanamu ya myahudi nayo ni ibada ya mizimu
Ndiyo maana huwa nauliza mnajua hizo imani za mizimwi au sijui za mababu zetu kuwa zimeanzaje? au nyie kwa kuwa tu mababu zetu walikuwa wakizifuata basi na nyie mnafuata.

Kama leo hii mnaona ukristo na uislamu umekuja kupotosha imani za mababu zetu na hivyo watu wanapotoka kwa kuafuata dini za ukristo na uislamu,basi tambua kuwa yawezekana hata mababu zetu pia walikuwa wanafuata imani za upotovu.
 
Kiranga anayo point, hoja yetu ni kwamba na sisi tunahitaji kurejea utaratibu wetu ambao unasadifu asili na mahitaji yetu
Hayo unayoyaelezea wewe unaweza kuyathibitisha? maana unasema Kiranga anayo point na Kiranga muda wote amekuwa akidai uthibitisho,sasa labda wewe una uthibitisho katika hayo unayoyaelezea na ndiyo maana unaona point ya Kiranga.

Kujificha nyuma ya Atheist hakukufanyi wewe kuwa sahihi,at least wenzako wanatetea wanachokiamini ila wewe umejificha nyuma ya mgongo wa Kiranga ili kushambulia imani za wengine.
 
Hatukubali mauaji ya albino, pili ndivyo sivyo hawakosekani kila pahala, mtu akiutumia ukweli vibaya, akaupotosha ni yeye mwenyewe, mbona Kun a wengi, wa fani mbalimbali, wan a kiuka ethics Za proffesion zao, mbona kuna mapadri na mashehe wanafanya mabaya, na maraisi wanakiuka katiba???? Ubaya ni mtu mwenyewe
Hao wanaua albino mambo yao yanafanikiwa au hayafanikiwi?
 
Back
Top Bottom