Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,388 Reaction score 7,223 Oct 12, 2021 #1 Nashangaa maagizo ya kiofisi yanatolewa kwenye Vyombo vya habari ilihali ni maagizo yanayowahusu viongozi wetu na hautaruhusu sisi wananchi ata chembe.
Nashangaa maagizo ya kiofisi yanatolewa kwenye Vyombo vya habari ilihali ni maagizo yanayowahusu viongozi wetu na hautaruhusu sisi wananchi ata chembe.
Chakwale JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 1,080 Reaction score 1,585 Oct 12, 2021 #2 Tulia basi uandike vizuri Mkuu mbona kama unakimbizwa? Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Tulia basi uandike vizuri Mkuu mbona kama unakimbizwa? Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
namanga-kitonga JF-Expert Member Joined Feb 4, 2020 Posts 679 Reaction score 744 Oct 12, 2021 #3 Chakwale said: Tulia basi uandike vizuri Mkuu mbona kama unakimbizwa? Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38], mzee wa TECNO L8 Lite, mwambie huyo jamaa. Hizi simu kumbe bado zipo? [emoji12][emoji12][emoji12]
Chakwale said: Tulia basi uandike vizuri Mkuu mbona kama unakimbizwa? Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38], mzee wa TECNO L8 Lite, mwambie huyo jamaa. Hizi simu kumbe bado zipo? [emoji12][emoji12][emoji12]