Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Hamna kitu bablai. Unaonyesha watu kifaru cha WWI, miaka zaidi ya 100 iliyopita wakati wenzako wana Unmanned Aerial Vehicles na Remotely Piloted Aircrafts.Silaha walizoonesha ni geresha tu zile za maangamizi ziko chimboš