Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Bora wangeleta wale wanaopaa na ungo maana bado hatujafanya lolote la maana miaka yote hiyo
Umasikini bado na ujinga umezidi
Sherehe zijazo waweke ngoma za asili na waweke ngumi kina mwakinyo
Labda hizo zinatosha
Ila kwa silaha hizo nyingi zimechakaa na hatuhitaji kuonyesha
Haya mambo ya kuonyesha nguvu ni tuwaachie Korea na China na Russia wao ndio wanauwezo wa silaha
Sisi hata fimbo tu zinatosha