Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Hamna kitu bablai. Unaonyesha watu kifaru cha WWI, miaka zaidi ya 100 iliyopita wakati wenzako wana Unmanned Aerial Vehicles na Remotely Piloted Aircrafts.Silaha walizoonesha ni geresha tu zile za maangamizi ziko chimbo😅
Au vipi, ma B52 yetu!Silaha walizoonesha ni geresha tu zile za maangamizi ziko chimbo[emoji28]
Eeh we unategemea serikali ni machizi waoneshe mizigo ya maana😅 sijui ma drone! Hao wanajeshi wanaosomea urusi huko unafikiri hawajui kitu kwamba kuna drones za kisasa?😀au vipi, ma B52 yetu!
Marekani na Nguvu zote zile za kijeshi hata bunduki hawaonyeshi kwenye gwaride la kumbukumbu ya siku ya uhuru wao 🤣 🤣 Mkubwa ni mkubwa tu, na mkubwa hajaribiwi kwa kushikwa sharubu
Silaha za WW2 ndo wanatuonyeshea , sku hzi vita inapiganwa mostly biologically , ikilazimu sana long range (intercontinental missile) mambo ya ground battle ni kufanya finishing Tu ...!! Hii nchi viongozi na wananchi akili zao zinafanana sjuiHata kama ni kweli lakini bado ni mambo ya kizamani sn
Kabisa ni mambo ya aibuSilaha za WW2 ndo wanatuonyeshea , sku hzi vita inapiganwa mostly biologically , ikilazimu sana long range (intercontinental missile) mambo ya ground battle ni kufanya finishing Tu ...!! Hii nchi viongozi na wananchi akili zao zinafanana sjui
Sasa yeye ka nchi kapo kama mkoa wa Dar na unaweza kuta hata Dar ni kubwa, kwanini asiagize mengi huku anashinda na kulala Congo kwenye madini? Kwanza atakuwa anaitamani nchi yetu ilivyo kubwa, yeye akipiga mruzi mmoja nchi nzima wanasikia.Msilaha yote waliyoonyesha yanaharibiwa na kitu kidogo tu kiitwacho drones, ndiyo maana Kagame kaziagiza hizo kwa wingi na ndo zinampa ushindi Aby huko Ethiopia
Kwani maandaki hamna we kubali kataa jeshi ni infantry infantry ndo kila kitu jeshini na ndomana askari wote upata mafunzo ya infantry kwanza hayo ndo mafunzo ya awali ya akari mpya hayo Mengine badae....Infantry bila air cover na air support ni mabata yanayosubiri kupopolewa
lengo hapa si kuonyesha uwezo bali kumtisha mpinzani wa ndani akidhani siku kikinukishwa atatumia hayo mabakuli na machekecheo ya kichina. kumbe si lolote. ni kama kutangaza biashara ya mchina tu sasa sijui wataweza kufanya hiyo biashara!?Nonsense kuonyesha silaha usizotengeneza, zote umenunua na tozo zetu, tena kutoka mataifa ya kikoloni. Wanatuchora sana
tumeendelea kwelikweliBado tuna jeshi la kizamani sn, wenzetu wanatumia teknolojia ya kisasa kabisa tofauti na sisi kubeba magogo mgongoni