Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Waulize waasi wa M23 watakupa ujumbe walioupata kutoka jeshi letu.
Mbagala Barracks
Eeh ndio kilipoKuna kiwanda cha silaha za maangamizi huko?
Umesha kuwa attached na hawa jamaa kwenye mission yoyote ukaona ufanyaji kazi wao?Bado tuna jeshi la kutumia nguvu badala ya maarifa
Mara kibao, wanatumia nguvu badala ya maarifa hata kidogoUmesha kuwa attached na hawa jamaa kwenye mission yoyote ukaona ufanyaji kazi wao?
Hao huonyesh siraha walizozitengeneza waoKuna jambo huwa linanitatiza sana kwenye hizi sherehe za kiserikali, uhuru au muungano.
Yaani imekuwa ni kama formula kwamba uhuru lazima tuoneshe masilaha ya kivita na makomandoo wapite pale wakirukaruka.
Mi nahisi, kuna kitu hakipo sawa kuhusu hili suala. Yaani ni kwanini sherehe za uhuru wa taifa inapambwa na mambo ya kijeshi?
Mimi nahisi labda viongozi wetu wamekariri na tena wamepotea vibaya sana.
Ingekuwa sisi ni nchi kama North Korea, Iran, Russia, China ingekuwa ni sawa kuonesha silaha zetu za kivita kwa sababu hizi nchi hizi silaha wanazitengeneza, kwahiyo siku ya uhuru wanaitumia kuonesha technolojia zao.
Ila kwa nchi kama Tanzania, hatutengenezi silaha tunanunua nje. Kwa maana yake ni kwamba silaha ambazo tunazo na wenzetu wanazo.. Kwahiyo moja kwa moja sioni point ya kujigamba na haya masilaha ya kivita ambayo ni imported.
Ningetegemea kuona tunasherehekea hizi sherehe na kuzitumia kama namna ya kuitangaza Tanzania, yaani tuoneshe vitu ambavyo ni Made in Tanzania.
Mfano jana tumeona mavifaru lakini ukiamka leo asubuhi hakuna value yoyote ya hayo mavifaru kwa Watanzania.
Ila imagine kama tungetangaza technolojia ya kitanzania, leo ingekuwa ina add value kwa watu.
Tatizo la jesh letu ni kuwa wakisikia mkutano wa CDM wanaingia mtaani kufanya usaf.Waulize waasi wa M23 watakupa ujumbe walioupata kutoka jeshi letu.
Nakazia,Mkuu: nchi zote zilizowahi kuwa na eastern ideology ndio zao hizo - NK, Russia, China, etc. tena hawa hufungulia mavifaru na makombora kuyaacha yazurure mitaani kwa wiki nzima kabla kiongozi mkuu muadhama hajahutubia taifa ajenda kuu ikiwa kuitukana US na western countries!
Ajenda ya pili ni kuwatisha wananchi wasilete fyoko fyoko ili watawaliwe vizuri bila kuhoji! Na sisi tunapita mule mule sema hatujawa na jeuri ya kutukana US na western bado
Nadhani labda tungefanya hata haya mambo tofauti na ilivofanyika jana. Mbona yapo mambo mengi sana ya kuyaonesha kuliko mavifaru!Kuna video twitter Nyerere akipanda miti Dar siku yakuadhimisha miaka 10 ya uhuru wa Tanganyika mwaka 1971.
Hawa MaCCM toka mfumo wa vyama vingi uje, akili zao zinawambia adui yao ni CHADEMA ndio unaona maigizo yote hayo , na sisi hatuwaogopi, tugawane tu hizo bunduki halafu waone.. kwani si zimenunuliwa na kodi zetu, tugawane tupelekeane moto vizuri.
Wewe mwenyewe Mwalla ni made in wapi?.
Ndo mana tukasema, ni kwanini tusioneshe vitu vingine.. tuachane na hii mambo yakuonesha masilaha ya kivitaNchi zingine Afrika zinaonyesha silaha hizo hizo. Kimsing afrika hatujafika mahali pa kuzalisha silaha zetu wenyewe 100%
Unataka wapopolewe ?? .. wewe tutahoji uraia wako.. hahahaaaNi kututisha tu. Waombe mechi ya kirafiki na Taleban!
Vitu gani kwa mfano?Ndo mana tukasema, ni kwanini tusioneshe vitu vingine.. tuachane na hii mambo yakuonesha masilaha ya kivita
Hahahaha eti mara kibao? Said raia ambaye hata mafunzo ya jeshi hajapita, not even basicMara kibao, wanatumia nguvu badala ya maarifa hata kidogo
Ki ukweli,Haileti mantiki nahisi kama tunaonekana wa Ajabu hivi.Tulipaswa tuoneshe f ursa tulizonazo ktk uwekezaji.,Technology tuliyofikia katika uzalishaji wa viwanda,maendeleo ktk elimu,Siasa na uchumi.na hadhi ya utamaduni wetu tulipofikia tangu kupata uhuru.Kuna jambo huwa linanitatiza sana kwenye hizi sherehe za kiserikali, uhuru au muungano.
Yaani imekuwa ni kama formula kwamba uhuru lazima tuoneshe masilaha ya kivita na makomandoo wapite pale wakirukaruka.
Mi nahisi, kuna kitu hakipo sawa kuhusu hili suala. Yaani ni kwanini sherehe za uhuru wa taifa inapambwa na mambo ya kijeshi?
Mimi nahisi labda viongozi wetu wamekariri na tena wamepotea vibaya sana.
Ingekuwa sisi ni nchi kama North Korea, Iran, Russia, China ingekuwa ni sawa kuonesha silaha zetu za kivita kwa sababu hizi nchi hizi silaha wanazitengeneza, kwahiyo siku ya uhuru wanaitumia kuonesha technolojia zao.
Ila kwa nchi kama Tanzania, hatutengenezi silaha tunanunua nje. Kwa maana yake ni kwamba silaha ambazo tunazo na wenzetu wanazo.. Kwahiyo moja kwa moja sioni point ya kujigamba na haya masilaha ya kivita ambayo ni imported.
Ningetegemea kuona tunasherehekea hizi sherehe na kuzitumia kama namna ya kuitangaza Tanzania, yaani tuoneshe vitu ambavyo ni Made in Tanzania.
Mfano jana tumeona mavifaru lakini ukiamka leo asubuhi hakuna value yoyote ya hayo mavifaru kwa Watanzania.
Ila imagine kama tungetangaza technolojia ya kitanzania, leo ingekuwa ina add value kwa watu.
Umeongea kweli tupu. Hao waliotuulizia hizo silaha, kwa sasa watakuwa na new model zake. Tumekuwa watu wa ku copy copy tu bila hata kufikiri.Kuna jambo huwa linanitatiza sana kwenye hizi sherehe za kiserikali, uhuru au muungano.