Hivi hakuna namna bora ya kusherehekea Uhuru bila kuonesha silaha za kivita?

Ipo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hata komandoo Adamoo na Lijenje walikuwepo kwenye show kama hizo za mwaka 2014, ona walivyofanywa kitu mbaya na Kingai

Hawa masoldier ambao nao wanatuonyesha show hapo Uhuru stadium wawe makini wasije kuingia kwenye anga za Mahita, Jumanne na Kingai. Hao jamaa wana style yao ya kutesa inaitwa popo!, ni mikazo tu!
 
Umeangalia Vita ya Armenia vs azerbaijan hapo juzi Kati?Mtu kachezea drones mwanzo mwisho,vifaru vimeachwa nyang'anyang'a hakuna cha infantry Wala nini.
Mzee izo drone ni kwa mtu asiyekuwa na jeshi bora la Anga.ila kwa nchi iliyokuwa na jeshi bora la Anga,izo drone zitakuwa zinashushwa kama vile korosho
 
Sisi bado sana, hii ndo nchi pekee ambayo hakuna tofauti ya msomi mwenye phd na mtu ambaye hajaenda hata darasa moja, hili swala nilishawahi kilileta hapa miaka ya nyuma.
 
Infantry bila air cover na air support ni mabata yanayosubiri kupopolewa

Think again! History inaonesha kuwa, pamoja na overwhelming airpower yao, wazungu wote waliopata kuivamia Afghanistan hawajawahi kushinda vita dhidi ya ill-equipped Afghan jihadists!
 
Marekani na Nguvu zote zile za kijeshi hata bunduki hawaonyeshi kwenye gwaride la kumbukumbu ya siku ya uhuru wao [emoji1787] [emoji1787] Mkubwa ni mkubwa tu, na mkubwa hajaribiwi kwa kushikwa sharubu

marekani ina mashoga jeshini na wanajitangaza hadharani,unataka tuige na hiyo!!!
 
Think again! History inaonesha kuwa, pamoja na overwhelming airpower yao, wazungu wote waliopata kuivamia Afghanistan hawajawahi kushinda vita dhidi ya ill-equipped Afghan jihadists!
Nadhani ww ndio hujui history. Wazungu hao ndio waliwapa silaha silaha wa afgan ili wamfukuze mrusi wkt huo. Walifanikiwa na baadae wakawageuka.
Na kwa taarifa yako vita ya afgan ni historia kujirudia ... wrong war at wrong place. Wamekuja kushtuka wanapigania watu ambao hawana mpango wa kujipigania. But then walishapoteza pesa nyingi.
 
War history ya Afghanistan haijaanzia kwenye Soviet-Afghan war. Isome history yote uone wazungu wameshinda vita vingapi.
 
War history ya Afghanistan haijaanzia kwenye Soviet-Afghan war. Isome history yote uone wazungu wameshinda vita vingapi.
Am talking about afgan hapa. Especially afgan war. When and how america become interested and when walipogundua kuwa wali invest in wrong war. To me hawakushindwa.
Walifanya makosa at first place.. bad news waligundua miaka 20 baadae
 
Every loss is preceded by strategic mistakes!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…