je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,104
- 4,090
Tangia kuzaliwa kwangu sijawai kuona kampuni ya ajabu kama hii ya halotel
Hawa jamaa Internet yao ni slow labda uwe karibu na ofisi zao.
Internet inaweza kugoma muda wowote na hawana maelezo ya kutosha.
Nilivutiwa na bundle zao za buku ila kwa kweli nimenyoosha mikono juu
Voda wanawezaje kuwa na Internet nzuri na hao wengine washindwe.??
Haiwezekani hata siku moja hawa jamaa wanatakiwa kuondoka mara moja nchini au wasitishwe kufanya kazi nchini.
Mana tofauti ya halotel na mcc haipo wote ni wabovu na hawafai kuwepo katika uso wa dunia