Ajira Gani wewe kidampa...hizo za cheap labour?Write your reply...umelazimishwa kutumia mtandao wao? Unataka watu wakose ajira wee mbususu kibama?
Tangia kuzaliwa kwangu sijawai kuona kampuni ya ajabu kama hii ya halotel
Hawa jamaa Internet yao ni slow labda uwe karibu na ofisi zao.
Internet inaweza kugoma muda wowote na hawana maelezo ya kutosha.
Nilivutiwa na bundle zao za buku ila kwa kweli nimenyoosha mikono juu
Voda wanawezaje kuwa na Internet nzuri na hao wengine washindwe.??
Haiwezekani hata siku moja hawa jamaa wanatakiwa kuondoka mara moja nchini au wasitishwe kufanya kazi nchini.
Mana tofauti ya halotel na mcc haipo wote ni wabovu na hawafai kuwepo katika uso wa dunia
Unajua wakati mwingine unaweza kuona kama mtamdao una shida kumbe shida tunazo sisi watumiaji, wewe ushagundua hilo unaung'ang'ania wa nini?? Piga chini, mitandao iko mingi. Usipoteze muda kudiscuss jambo ambao liko ndani ya uwezo wako kuliamuaTangia kuzaliwa kwangu sijawai kuona kampuni ya ajabu kama hii ya halotel
Hawa jamaa Internet yao ni slow labda uwe karibu na ofisi zao.
Internet inaweza kugoma muda wowote na hawana maelezo ya kutosha.
Nilivutiwa na bundle zao za buku ila kwa kweli nimenyoosha mikono juu
Voda wanawezaje kuwa na Internet nzuri na hao wengine washindwe.??
Haiwezekani hata siku moja hawa jamaa wanatakiwa kuondoka mara moja nchini au wasitishwe kufanya kazi nchini.
Mana tofauti ya halotel na mcc haipo wote ni wabovu na hawafai kuwepo katika uso wa dunia
Kuna Airtel hao ndiyo balaa. File la mb 100 kuupload unaweza kutumia siku 2.Tangia kuzaliwa kwangu sijawai kuona kampuni ya ajabu kama hii ya halotel
Hawa jamaa Internet yao ni slow labda uwe karibu na ofisi zao.
Internet inaweza kugoma muda wowote na hawana maelezo ya kutosha.
Nilivutiwa na bundle zao za buku ila kwa kweli nimenyoosha mikono juu
Voda wanawezaje kuwa na Internet nzuri na hao wengine washindwe.??
Haiwezekani hata siku moja hawa jamaa wanatakiwa kuondoka mara moja nchini au wasitishwe kufanya kazi nchini.
Mana tofauti ya halotel na mcc haipo wote ni wabovu na hawafai kuwepo katika uso wa dunia
Hapo toa Airtel weka Tigo. Airtel inakera kwenye internetMtandao stable nchi hii Ni Voda tu ikifatiwa na Airtel
JMK ndioWalisema zamani ni kampuni ya Mstaafu
Sasa utamfukuzaje kwa mfanoJMK ndio
Tigo upo sahihi kabisa sababu wametandaza fiber kila sehemu mjini Dar-es-SalaamHapo toa Airtel weka Tigo. Airtel inakera kwenye internet
Huwezi ndio kampuni yake inayompa ugali mwingiSasa utamfukuzaje kwa mfano
hili upo sahihi na hasa ukimpigia mteja wa vodaChangamoto kubwa ni hii hali ya kupiga simu zaidi ya 1 ioi msikilizane. Ya lwanza mmoja hasikiki hadi urudie kupiga tena ndipo mwaongea. Tatizo nini
Nikiwa nafanya deal na mtu akanipa namba ya Halotel namtazama kwa mshangao. Sasa hivi natokea kupokea simu mtu analalamika malipo hayajanifikia kumbe katumia Halopesa.Moja ya kuonekana hauko serious ni kutumia halotel
Wew airtel inakera kwenye internet? Hapa nilipo ndio mtandao wenye kasi ya radi ikifuatia na yas alaf voda nipo karbu na mnara wao ndio wanazingua sijui kwa nin?Hapo toa Airtel weka Tigo. Airtel inakera kwenye internet
Kama Upo kwenye CBD basi go for tigo and Vodacom ila ukiwa mtu wa nje ya Mji, Vodacom na Airtel ni Best comb haswa kama una safiri mtandao wa Tigo wameweka Nguvu kwenye Coverage maeneo ya City Centers za Mikoa ila ukiacha Mji just a mile tu tayari tigo ni Kimeo kwenye upande wa Payments Tigo na Vodacom pia ni Waziri zaidi kuliko Airtel na HalotelHapo toa Airtel weka Tigo. Airtel inakera kwenye internet