KERO Hivi hakuna namna hawa Halotel wakafukuzwa nchini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Habari, pole kwa changamoto hiyo. Tafadhali tupatie majina yako kamili na namba ya simu kwenye kisanduku cha ujumbe kwa msaada zaidi. ^Hivikunadaladalashangani.
#modskausheni
 
Biashara ya haya makampun ya smu Tanzania ni ya wanamtandao...ni kama madawa ya kulevya ..na ndio mana wameinyima starlink isije nchini ili waendelee kuwabagaza watanzania wanyonge
 
Siasa za kimakampuni ndizo zilizo watoa mchezoni, walikuwa vizuri kipindi Cha nyuma.

Una jua halotel ndio ali anza kutoa un limited kwa buku jero?, baadae ali pigwa biti aka tulia.
 
Unajua wakati mwingine unaweza kuona kama mtamdao una shida kumbe shida tunazo sisi watumiaji, wewe ushagundua hilo unaung'ang'ania wa nini?? Piga chini, mitandao iko mingi. Usipoteze muda kudiscuss jambo ambao liko ndani ya uwezo wako kuliamua
 
Kwanza huwezi kujiunga bundle ikakubali mara moja ni lazima urudie USSD zaidi ya mara 5 inachosha mno. Mtu upo hewani ila unaambiwa hupatikani siku nzima.
Ni vile line yangu ina gift ya double bundle ndio maana nashindwa kuwahama ila hamna kitu hapo.
 
Kuna Airtel hao ndiyo balaa. File la mb 100 kuupload unaweza kutumia siku 2.
 
Moja ya kuonekana hauko serious ni kutumia halotel
Nikiwa nafanya deal na mtu akanipa namba ya Halotel namtazama kwa mshangao. Sasa hivi natokea kupokea simu mtu analalamika malipo hayajanifikia kumbe katumia Halopesa.

Ila nikipata namba ya mtoto wa kike anatumia Halotel huwa namuona ni mvumilivu na low maintenance.
 
Kwani mmeshikiwa bastola muendelee kuwa wateja wa Halotel?

Unaonaje nyinyi wateja wao mkaacha huduma zao ili waondoke wenyewe, kwa maslahi mapana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vietnam?
​
 
Hapo toa Airtel weka Tigo. Airtel inakera kwenye internet
Wew airtel inakera kwenye internet? Hapa nilipo ndio mtandao wenye kasi ya radi ikifuatia na yas alaf voda nipo karbu na mnara wao ndio wanazingua sijui kwa nin?
 
Hapo toa Airtel weka Tigo. Airtel inakera kwenye internet
Kama Upo kwenye CBD basi go for tigo and Vodacom ila ukiwa mtu wa nje ya Mji, Vodacom na Airtel ni Best comb haswa kama una safiri mtandao wa Tigo wameweka Nguvu kwenye Coverage maeneo ya City Centers za Mikoa ila ukiacha Mji just a mile tu tayari tigo ni Kimeo kwenye upande wa Payments Tigo na Vodacom pia ni Waziri zaidi kuliko Airtel na Halotel
Ila kwa sasa Kuna Mtu anaitwa Selcom Pesa ni the best sana very convenient
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…