M mtechnical JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 358 Reaction score 895 Sep 9, 2025 #41 Kwani unalazimishwa kutumia Halotel? Haujui kuna maeneo huko vijijini ndani wanategemea Halotel tu?Wakifukizwa hao watanzania wenzako wanaopata ajira halotel utawaajiri wewe? Kama halotel haikufai ipotezee, acha kulia lia kama mwanamke.
Kwani unalazimishwa kutumia Halotel? Haujui kuna maeneo huko vijijini ndani wanategemea Halotel tu?Wakifukizwa hao watanzania wenzako wanaopata ajira halotel utawaajiri wewe? Kama halotel haikufai ipotezee, acha kulia lia kama mwanamke.
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,748 Reaction score 18,096 Sep 9, 2025 #42 Hii laini nimeishindwa aisee, mpaka uwe jirani na ofisi zao au chini ya mara ndio utaifaidi, HAWA WAFUKUZWE
Hii laini nimeishindwa aisee, mpaka uwe jirani na ofisi zao au chini ya mara ndio utaifaidi, HAWA WAFUKUZWE