Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Wakuu,
Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya.
Sasa hii inakua Changamoto kama mjuaavyo nchi hii imeshakua ya mabando, sasa unajikuta una dakika za mtandao mmoja tu ambazo huwezi kupiga kwenda mtandao tofauti.
Je kuna namna yoyote ya Kisasa na haraka ya kujua namba ya simu ni ya mtandao fulani hasa kwa kutumia zile code za mwanzoni?
Mfano umepewa/umepigiwa na namba kama hii hujui ni ya mtandao gani na unataka kujua kwa haraka unafanyaje?
0770...
0798...
0781...
0662...
0699...
0650...nk nk
Mwenye ufahamu wa njia rahisi naomba anisaidie.
Ahsante.
MREJESHO:
__________________________________________
Baada ya kuandika uzi huu kuna member mwenzetu ndugu robbyl aliamua kuchukua wazo hili kama fursa na kuamua kuingiza kipengele hiki cha kuuliza mtandao gani Kwa kutumia code katika app yake ya Voucher Master, nimepakua app hii na kufanya majaribio ya code nyingi, nikiri wazi inafanya kazi vizuri tena kwa haraka sana, kitendo cha kuandika code kabla huja maliza namba ya mwisho tayari imekupa jibu (nimeambatanisha screenshot) labda tatizo litabaki kwa wanaotumia simu ndogo(viswaswadu).
Nachukua fursa hii kwanza kumpongeza kwa ubunifu wake na kufanyia kazi kwa muda mfupi kuleta suhulu, pia nashukuru JF na members wote mliochangia.
Kuhusu app hii nadhani robbyl mwenyewe anaweza kuielezea zaidi maana inafanya kazi nyingine nyingi pia kama alichangia kwenye comments.