Umesahau na 076,Voda wana code nyepesi 074, 075, 079 hana zingine kwa sasa
Halotel, Yas na Airtel wanashabiliana maana wote wana 06.... hii voda hana
mkuu hapo wiki moja tu kazi imesha hapo,Asante kwa hii japo nayo bado ni njia ngumu tu,maana inabidi ukariri
Nikikutana na hii lazima nicheke kwanza 😂Tigo wamezindua 0702……
Ni kweli ila sasa sio wote wanaweza kukariri na hapa nataka tupate suluhisho la jumla, yaani kwa mfano kungekua na namba mfano tunapopiga *106# inakupa taarifa za kusajili vivyohivyo ingekuwepo mfumo huo ikiingia code nakwambia "code hii inamilikiwa na mtandao fulani" sidhani kama TCRA wa nashindwa kutuwekea kitu kama hiki.mkuu hapo wiki moja tu kazi imesha hapo,
okay , hilo linawezekana ndio wataalamu wanaweza weka huo mfumo hasa ukizingatia kuna zile namba mfano mtu anatumia airtel 078X XXX XXX alafu anaenda kubadilisha mtandao yani namba ibaki hivyohivyo ila anahamia voda ,halotelNi kweli ila sasa sio wote wanaweza kukariri na hapa nataka tupate suluhisho la jumla, yaani kwa mfano kungekua na namba mfano tunapopiga *106# inakupa taarifa za kusajili vivyohivyo ingekuwepo mfumo huo ikiingia code nakwambia "code hii inamilikiwa na mtandao fulani" sidhani kama TCRA wa nashindwa kutuwekea kitu kama hiki.
Kwa true caller namba ngeni ikija inaleta taarifa gani?
Halafu true caller kwa wenye viswaswadu si bado tatizo ni lilelile
Ok, Asante nitaijaribuJINA LA MTU ALIYEKUPIGIA hata kama namba yake ulikua huna kwenye Simu lakini pia kuna search Box ukiingiza namba yoyote inakuletea jina na namba ya nani? Na namba ya mtandao gani na namba inapatikana kwenye mitandao gani ya kijamii.