Hivi hakuna namna rahisi ya kujua Code ya mtandao wa simu kwa haraka?

Nadhani hili ni wazo zuri nitaongeza Hii feature kwenye app yangu Inaitwa Voucher Master. Kwa sasa inafanya vitu vinavyoonekana kwenye picha hii.
 

Attachments

  • 1774090177734.png
    287.6 KB · Views: 18
Nimeboresha app yangu ya Voucher Master. Sasa unaweza kuangalia namba ni ya mtandao gani wa simu kwa kuandika tarakimu 3 za mwanzo au namba nzima. Pia unaweza chagua namba kwanye phone book yako.

 

Attachments

  • WhatsApp Image 2026-03-22 at 00.10.42.jpeg
    49.4 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…