Hivi hakuna namna rahisi ya kujua Code ya mtandao wa simu kwa haraka?

Nyingi hazijawekwa mfano Airtel ana 066 saivi yani mfulufulu mfululo ni voda tu code zake zina 07 hana 06
itabidi wa-update chapisho lao


066A XXX XXX waliiweka kwenye reserved for future use - so kama imeshaanza kutumika maana yake watuamiaji washakua wengi sana hali kadhalika 070A XXX XXX kuna wadau wanasema kuna namba mpya za tigo zinatumia 0702

itabidi nikarenew namba zangu zisije zikapotea
 
Pole sana mkuu mimi nimezikariri zote
 
Rahisi tu
Voda: 079, 076, 075, na 074
Airtel: 078 na 068
Tigo: 077 na 065
Halotel: 062 na 061.
 
Rahisi tu
Voda: 079, 076, 075, na 074
Airtel: 078 na 068
Tigo: 077 na 065
Halotel: 062 na 061.
Tatizo sio kukariri tatizo ni kwamba code mpya zinaibuka kila siku halafu sio kila mtu anaweza kukariri
 
Mkuu nimeapakua hii app ila mbona hicho kipengele cha Mtandao gani hakipo au app bado ipo karakana inapikwa?
Kulikua na changamoto kidogo ya kiufundi update ikachelewa kupatikana Google Play store. Kwa sasa inapatikana update au pakua Voucher Master app
 
Mkuu umetisha sana, nashukuru sasa hilo jambo imekua rahisi sana, nimejaribu karibu code zote umenipa majibu tena kwa haraka sana,ndani ya sekunde mbili tu.

Umeleta suluhisho kwa wakati muafaka sana, Kongole kwako👏
Asante sana kaka
 
Asante sana kaka
Poa kaka, unaweza kuongeza ubunifu zaidi mfano ilete mpaka jina la mwenye namba kama kuna umuhimu japo hata hapo ilipo ni suluhu tosha sana
 
Poa kaka, unaweza kuongeza ubunifu zaidi mfano ilete mpaka jina la mwenye namba kama kuna umuhimu japo hata hapo ilipo ni suluhu tosha sana
Hiyo ni Ngumu kwa sasa maana itahitaji ufanye usome data kutoka kwenye makampuni ya simu zote. Na hiyo huduma sidhani kama wanatoa kwa watu binafsi so kuna ugumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…