Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Yaani ni jambo la ajabu sana kukataaa goal la wazi km hili how yaani var ikatae hii ni aibu sana kwa rais wa caf matsope sijui na team yake ya mamelod yaani ni aibu kwenye mpira wa africa kabisa.

Mimi nataka kujua haiwezekani kukata rufaa kama umedhulumiemwa kwenye hatua hizi za robo fainali champions caf?

Your browser is not able to display this video.
 
Maamuzi yakitolewa na refa hata kama ya kuonewa huwezi kuyabadilisha kukupa faida ile ambayo ungeweza kuipata endapo refa angefanya fair.

Maana yake ni kwamba there's no way Mamelodi wanaweza kuwa watuhumiwa kwenye hili tukio na kwa maana hiyo hakuna maamuzi ambayo yatailenga Mamelodi hata kama kesi ikionesha kweli Yanga imedhulumiwa.

Hapo mhanga ni refa na timu yake ya VAR kule control room ambao hao hawana impact kihivyo tofauti na timu

Kwenye adhabu za FIFA hata wakimfungia refa bado hawawezi kubatilisha matokeo kuipa advantage Yanga.

Kwasababu Mamelodi watajitetea kuwa ni makosa ya refa sio wao hivyo hakuna sababu yoyote ya wao kuhusishwa kwenye adhabu ambayo imetolewa kutokana na makosa ya refa.
 
Dah...
 
Imeisha hiyoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sheria zipo hapa ... Matokeo yanaweza kufutwa coz hii ni fixed match .. na mmiliki wa timu ni Rais wa chama Cha soka.
 
Sheria zipo hapa ... Matokeo yanaweza kufutwa coz hii ni fixed match .. na mmiliki wa timu ni Rais wa chama Cha soka.
Matokeo kufutwa hutokana na kosa kufanywa na wachezaji

Wahusika wa hilo kosa ni marefa sio wachezaji

Hilo haliwezi kutokea hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…