ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Papaa misifa[emoji23][emoji23]Samahani Mkuu uliyemtaja hapa ni GENTAMICIME aliyeanzisha hii ID ili Kusafiria Nyota yangu Kali ya Kimvuto na Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na Mimi ni ( naitwa ) GENTAMYCINE niliyejiunga rasmi hapa JamiiForums Mwezi July mwaka 2013 na mwenye Utajiri wa Kutukuka wa 'Followers' 117+ hivi.
Hizi ni furaha za akina mama, sio mwanamume haswa. Mwanamume unashangilia mwanamune mwenzio kuchaniwa!? Aibu hiikwahyo sisi tuliooa wanawake bikra ni ruksa kumcheka masanja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we acha watu wafurahshe nafsi zao ndo maana ya kuwa huru fanya chochote usivunje sheria Tu
Makanisa ya siku hizi hasa haya yenye elements za kina Masanja January to December huwezi sikia mchungaji anakemea zinaa wana injiri zao za kufarijiana saa zingine ni mhubiri anaweza panda madhabahuni mwanzo mwisho asinukuu bible fanya utafiti utapata jibuMleta mada umeandika kwa jaziba sana bila kuangalia uzito wa jambo hilo.
☆Masanja aliechapiwa mke wake siyo yule masanja muigizaji bali ni masanja mchungaji ambae nyuma yake ana kundi kubwa la wana kondoo wanao muangalia kama kioo chao na kiongozi wao.
☆Mke wa masanja alie chapwa siyo mke wa masanja mkandamizaji bali ni mama mchungaji alie na kundi kubwa la kondoo wa kike wanao mtazama kama kioo chao na kiongozi wao.
☆Katibu alie mchapa mama mchungaji siyo katibu wa BASATA bali ni katibu wa kanisa aliekuwa anaongoza kundi kubwa la wana kondoo.
Hivi hata hujiulizi side effects ambayo inaweza tokea juu ya hili swala?
Moja: Mchungaji kuchapiwa
Pili; mama mchungaji kuzini
Tatu: katibu wa kanisa kuzin na mama mchungaji kisha kujiua na kuacha kovu la mapenzi kwa mchungaji na mke wake.
Ukitaka kuelewa hili jambo la kuchapiwa masanja siyo la kawaida kama unavyotaka kulazimisha wewe lionekane la kawaida, Vaa uhusika wa Mchungaji Masanja halafu panda mazabahuni uanze kuhubiri Amri za Mungu ikiwemo naya "UZINZI" huku na mkeo akiwemo na wote unao wahubiri wanajua mkeo alizin na katibu wa kanisa lako.
HAPO NDO UTAJUA TOFAUTI YA KUCHAPIWA UKIWA KAMA BODABODA WA NAMTUMBO NA UKIWA KAMA MCHUNGAJI AU KIONGOZI WA DINI.
Masanja ni Mkandamizaji ni mchekeshaji pia, wewe umelenga kufurahia kwa sababu ya uchungaji wake (huko anaitwa Mchungaji Emmanuel Mgaya)Mleta mada umeandika kwa jaziba sana bila kuangalia uzito wa jambo hilo.
☆Masanja aliechapiwa mke wake siyo yule masanja muigizaji bali ni masanja mchungaji ambae nyuma yake ana kundi kubwa la wana kondoo wanao muangalia kama kioo chao na kiongozi wao.
☆Mke wa masanja alie chapwa siyo mke wa masanja mkandamizaji bali ni mama mchungaji alie na kundi kubwa la kondoo wa kike wanao mtazama kama kioo chao na kiongozi wao.
☆Katibu alie mchapa mama mchungaji siyo katibu wa BASATA bali ni katibu wa kanisa aliekuwa anaongoza kundi kubwa la wana kondoo.
Side effects? Suala la zinaa lina side effects zipi mpya zaidi ya kile kinachojulikana? Napata mashaka na umri wako.Hivi hata hujiulizi side effects ambayo inaweza tokea juu ya hili swala?
Kipi kipya kwako hapo? Watu wamezini na wake za marais sembuse mchungaji anayekaa kati ya jamii? Wakati wa skendo ya mke wa Muswati ulikuwa na umri gani? Skendo za familia za wachungaji ni mpya kwako? Masanja ni Mungu wako? Be grown up young man!!Moja: Mchungaji kuchapiwa
Pili; mama mchungaji kuzini
Tatu: katibu wa kanisa kuzin na mama mchungaji kisha kujiua na kuacha kovu la mapenzi kwa mchungaji na mke wake.
Kwani mke ndio kiini cha mafundisho? Ngoja nikusaidie uache kuwaza kama asiye ufahamu; Masanja HAKUFANYA ZINAA, mkewe kuhusishwa na zinaa. Sasa Masanja atashindwa vipi kusimama madhabahuni kukemea dhambi? Kwani anayesubiri ni mkewe? Mbona unajenga logic za hovyo?Ukitaka kuelewa hili jambo la kuchapiwa masanja siyo la kawaida kama unavyotaka kulazimisha wewe lionekane la kawaida, Vaa uhusika wa Mchungaji Masanja halafu panda mazabahuni uanze kuhubiri Amri za Mungu ikiwemo naya "UZINZI" huku na mkeo akiwemo na wote unao wahubiri wanajua mkeo alizin na katibu wa kanisa lako.
Kwa Mungu wala hakuna tofauti, anavyozidi tajiri ni hivyo hivyo anavyozidi maskini, azinivyo mpumbavu ndivyo azinivyo mwenye hekima. Siku ukikua ukaoa ndipo utatambua thamani ya mke haipimwi kwa umaarufu ulionao wala fedha zako. Acha utotoHAPO NDO UTAJUA TOFAUTI YA KUCHAPIWA UKIWA KAMA BODABODA WA NAMTUMBO NA UKIWA KAMA MCHUNGAJI AU KIONGOZI WA DINI.
Asante kwa mtazamo wako, lakini haliishi kwa kunyamaza wakati mitandao kila baada ya sekunde inaanzishwa mada KUSHEREHEKEA upumbavu. Wacha wanaume tusimame kwenye nafasi zetu, tuonane. Mwenye ufahamu atajifunza jambo jema, sio huu ujinga unaotukuzwa sasaNa wewe umezidi kumdhalilisha Masanja Kwa kuanzisha tena mjadala kuzungumzia tukio Hilo ...wewe ungemheshimu ungenyamaza kiimya
Wote mnaongea speculations TU,
Hakuna mwenye uhakika kua
1.katibu kajiua au kauwawa?
2. Masanja kachapiwa kweli au Ni mchongo TU kuficha mauwaji ya katibu?
Tuache vyombo vyetu vifanye kazi tupate ripoti ya uchunguzi Ndo tuanze kuhukumiana
Issue sio tajiri wala masikini issue ni aliyechapiwa ana tabia gani. MC kuwasha is nextUnafurahia nini kwa mfano? Kwani aliwahi kukuchapia mkeo kiasi kwamba unaona umelipiwa kisasi? Hizi ni tabia za kimaskini, yaani tajiri akipatwa majanga maskini wajinga hufurahi kwamba tuwe ngoma droo.
Hebu tuambie tabia yake inayosababisha ufurahie hii aibu kama mwanamume.