Hivi hakuna tena wanaume?

Hivi hakuna tena wanaume?

Samahani Mkuu uliyemtaja hapa ni GENTAMICIME aliyeanzisha hii ID ili Kusafiria Nyota yangu Kali ya Kimvuto na Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na Mimi ni ( naitwa ) GENTAMYCINE niliyejiunga rasmi hapa JamiiForums Mwezi July mwaka 2013 na mwenye Utajiri wa Kutukuka wa 'Followers' 117+ hivi.
Papaa misifa[emoji23][emoji23]
 
kwahyo sisi tuliooa wanawake bikra ni ruksa kumcheka masanja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we acha watu wafurahshe nafsi zao ndo maana ya kuwa huru fanya chochote usivunje sheria Tu
Hizi ni furaha za akina mama, sio mwanamume haswa. Mwanamume unashangilia mwanamune mwenzio kuchaniwa!? Aibu hii
 
Mleta mada umeandika kwa jaziba sana bila kuangalia uzito wa jambo hilo.

☆Masanja aliechapiwa mke wake siyo yule masanja muigizaji bali ni masanja mchungaji ambae nyuma yake ana kundi kubwa la wana kondoo wanao muangalia kama kioo chao na kiongozi wao.

☆Mke wa masanja alie chapwa siyo mke wa masanja mkandamizaji bali ni mama mchungaji alie na kundi kubwa la kondoo wa kike wanao mtazama kama kioo chao na kiongozi wao.

☆Katibu alie mchapa mama mchungaji siyo katibu wa BASATA bali ni katibu wa kanisa aliekuwa anaongoza kundi kubwa la wana kondoo.

Hivi hata hujiulizi side effects ambayo inaweza tokea juu ya hili swala?
Moja: Mchungaji kuchapiwa
Pili; mama mchungaji kuzini
Tatu: katibu wa kanisa kuzin na mama mchungaji kisha kujiua na kuacha kovu la mapenzi kwa mchungaji na mke wake.

Ukitaka kuelewa hili jambo la kuchapiwa masanja siyo la kawaida kama unavyotaka kulazimisha wewe lionekane la kawaida, Vaa uhusika wa Mchungaji Masanja halafu panda mazabahuni uanze kuhubiri Amri za Mungu ikiwemo naya "UZINZI" huku na mkeo akiwemo na wote unao wahubiri wanajua mkeo alizin na katibu wa kanisa lako.
HAPO NDO UTAJUA TOFAUTI YA KUCHAPIWA UKIWA KAMA BODABODA WA NAMTUMBO NA UKIWA KAMA MCHUNGAJI AU KIONGOZI WA DINI.
Makanisa ya siku hizi hasa haya yenye elements za kina Masanja January to December huwezi sikia mchungaji anakemea zinaa wana injiri zao za kufarijiana saa zingine ni mhubiri anaweza panda madhabahuni mwanzo mwisho asinukuu bible fanya utafiti utapata jibu
 
kwakeli issue ya mke wa masanja imenisikitisha sana kuliko kesi kama hizo zilizopita😡
 
Mleta mada umeandika kwa jaziba sana bila kuangalia uzito wa jambo hilo.

☆Masanja aliechapiwa mke wake siyo yule masanja muigizaji bali ni masanja mchungaji ambae nyuma yake ana kundi kubwa la wana kondoo wanao muangalia kama kioo chao na kiongozi wao.

☆Mke wa masanja alie chapwa siyo mke wa masanja mkandamizaji bali ni mama mchungaji alie na kundi kubwa la kondoo wa kike wanao mtazama kama kioo chao na kiongozi wao.

☆Katibu alie mchapa mama mchungaji siyo katibu wa BASATA bali ni katibu wa kanisa aliekuwa anaongoza kundi kubwa la wana kondoo.
Masanja ni Mkandamizaji ni mchekeshaji pia, wewe umelenga kufurahia kwa sababu ya uchungaji wake (huko anaitwa Mchungaji Emmanuel Mgaya)
Hivi hata hujiulizi side effects ambayo inaweza tokea juu ya hili swala?
Side effects? Suala la zinaa lina side effects zipi mpya zaidi ya kile kinachojulikana? Napata mashaka na umri wako.
Moja: Mchungaji kuchapiwa
Pili; mama mchungaji kuzini
Tatu: katibu wa kanisa kuzin na mama mchungaji kisha kujiua na kuacha kovu la mapenzi kwa mchungaji na mke wake.
Kipi kipya kwako hapo? Watu wamezini na wake za marais sembuse mchungaji anayekaa kati ya jamii? Wakati wa skendo ya mke wa Muswati ulikuwa na umri gani? Skendo za familia za wachungaji ni mpya kwako? Masanja ni Mungu wako? Be grown up young man!!
Ukitaka kuelewa hili jambo la kuchapiwa masanja siyo la kawaida kama unavyotaka kulazimisha wewe lionekane la kawaida, Vaa uhusika wa Mchungaji Masanja halafu panda mazabahuni uanze kuhubiri Amri za Mungu ikiwemo naya "UZINZI" huku na mkeo akiwemo na wote unao wahubiri wanajua mkeo alizin na katibu wa kanisa lako.
Kwani mke ndio kiini cha mafundisho? Ngoja nikusaidie uache kuwaza kama asiye ufahamu; Masanja HAKUFANYA ZINAA, mkewe kuhusishwa na zinaa. Sasa Masanja atashindwa vipi kusimama madhabahuni kukemea dhambi? Kwani anayesubiri ni mkewe? Mbona unajenga logic za hovyo?

Halafu umeshika kusema hili sii jambo la kawaida, kwa vipi? Yaani maishani mwako hujapata kusikia habari ya zinaa? Namwomba Mungu akujalie upate mke mwema, mwenye hofu ya Mungu nawe utakuwa salama.
HAPO NDO UTAJUA TOFAUTI YA KUCHAPIWA UKIWA KAMA BODABODA WA NAMTUMBO NA UKIWA KAMA MCHUNGAJI AU KIONGOZI WA DINI.
Kwa Mungu wala hakuna tofauti, anavyozidi tajiri ni hivyo hivyo anavyozidi maskini, azinivyo mpumbavu ndivyo azinivyo mwenye hekima. Siku ukikua ukaoa ndipo utatambua thamani ya mke haipimwi kwa umaarufu ulionao wala fedha zako. Acha utoto
 
Na wewe umezidi kumdhalilisha Masanja Kwa kuanzisha tena mjadala kuzungumzia tukio Hilo ...wewe ungemheshimu ungenyamaza kiimya
Asante kwa mtazamo wako, lakini haliishi kwa kunyamaza wakati mitandao kila baada ya sekunde inaanzishwa mada KUSHEREHEKEA upumbavu. Wacha wanaume tusimame kwenye nafasi zetu, tuonane. Mwenye ufahamu atajifunza jambo jema, sio huu ujinga unaotukuzwa sasa
 
Kuna thread humu, polisi wamethibitisha, labda kama una ukweli tofauti
Wote mnaongea speculations TU,

Hakuna mwenye uhakika kua
1.katibu kajiua au kauwawa?
2. Masanja kachapiwa kweli au Ni mchongo TU kuficha mauwaji ya katibu?

Tuache vyombo vyetu vifanye kazi tupate ripoti ya uchunguzi Ndo tuanze kuhukumiana
 
Unafurahia nini kwa mfano? Kwani aliwahi kukuchapia mkeo kiasi kwamba unaona umelipiwa kisasi? Hizi ni tabia za kimaskini, yaani tajiri akipatwa majanga maskini wajinga hufurahi kwamba tuwe ngoma droo.
Issue sio tajiri wala masikini issue ni aliyechapiwa ana tabia gani. MC kuwasha is next
 
Kila mchezo una mashabiki zake,kuna wa2 wanapenda kula wake za wenzao pia kuna watu wanapenda kula waume wa wenzao,na kuna watu hawependi kutembea na wake za watu na kuna watu hawapendi kutembea na waume za watu hivyo kama ni mashabiki huwezi pangia cha kushangilia.

Ila kama muhusika mkuu Masanja ame msamehe mke wake sisi wengine hatuna haki ya kukataa ama kukubali msamaha huo.DUNIA YA WAJUHA HII

Hivyo acha kila mtu aburudike na starehe yake.

Kuna kauli sijaielewa/inachukiza kusema [emoji1484]
"basi yeye ndio amekuwa mjinga zaidi ya marehemu." Ina maana waliokufa ni wajinga.

{Unaweza fikisha mada nzuri ila ukakosea kidogo tu}

Kamusi.
JUHA NI NANI?
Juha ni mtu asiyeweza kuelewa mambo sababu ya ujinga.
 
Issue sio tajiri wala masikini issue ni aliyechapiwa ana tabia gani. MC kuwasha is next
Hebu tuambie tabia yake inayosababisha ufurahie hii aibu kama mwanamume.
 
Hebu tuambie tabia yake inayosababisha ufurahie hii aibu kama mwanamume.
20221004_151907.jpg
 
Kifo hichi bado kina maswali mengi sana, pamoja na hayo Masanja hana tatizo kutangaza msamaha. Hiyo ni silaha kubwa kuliko zote, ameziba mengi kwa kutangaza haradharani kuwa pamoja na mke wake.

Hakuna ubaya wowote, iwe kweli ama si kweli bado ushindi upo kwa Masanja.
Mungu amsaidie Masanja na mke wake wapite salama katika kipindi hichi kigumu kwao.

Tuelewe kumpenda mke wako na Dunia yote ikajua hakuna ubaya wowote, Wala sio ushamba. Shida yetu tunaona kumpenda mke/mume ni vibaya.

Tumejazwa mitazamo hasi na jamii zetu, mwanaume unaishi na mke wako kama unaishi na jambazi, nikiwa na maana kila kitu umeweka Siri hadi hisia.

Mke wako hajui akaunti yako ya bank, mke hajui mshahara wako, mke hajui nyumba zako ulizojenga kwa Siri.

Mke wako hajui kama unampenda au humpendi! Kila kitu kwako Siri Siri.

Siku yakikupata wengine wanafaidi watoto wako na mke wako wanabaki wanateseka.

Shetani anajua nguvu iliopo katika kushikana vyema na mwenzi wako wa maisha, ndio maana elimu nyingi potofu zinasambazwa kwa Kasi kubwa.

Elimu yeyote iliyo nje au inayopingana na neno la Mungu hiyo elimu sio sahihi.

Penda mke wako, penda mume wako, siku akikuumiza Hilo litabaki kwake mwenyewe ila wewe utakuwa huna hatia.

Tuache kuishi na wenzi wetu kama maadui wetu bila sababu yeyote.

Asante sana.
 
Back
Top Bottom