Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hao wengine hata kama sio wake lakini ni mama mmoja na huyo mzazi mwenzake, kwahiyo jamaa anatoa support kwa hao wengine pia ili kuleta usawa na hao wengine wajione sawa na mwenzao vinginevyo makuzi yao wote hata huyo wa kwake mmoja hayatokuwa mazuri kutokana na watoto wa mama mmoja wanakuwa hawalingani katika mfumo wa maisha (kama jamaa lina uwezo na familia yake linahudumia mother house asihuzunike na ndio maana wamama wanaojielewa humwambia huyo mtoto amlete akae kwake ili kile kinachokwenda nje kiletwe ndani ila kwa kutokupenda kulea watoto wa kambo yote hayo hutokea.
Changamoto za kuachana kwa watu ambao hawaoana ni zile zile sema wengine ndo hivyo tena unakuta wameachana huku wakiwa na mtoto wakati hawa wengine wanakuwa hawana mtoto lakini ukichunguza sababu ni zilezile