Haina shida kama uwezo upo, usikute wao maisha hayajakaa sawa
Ujue muelewe kuna wanaume wana huruma sana, so kumsaidia familia ya ex wako siyo ishu kabisa kama uwezo upo. Ofcourse pia inategemea na mlivyoachana
On a personal level, niliwahi kumsaidia ex wangu sana tu na kwa muda mrefu tu (nadhani 4yrs mfululizo) baada ya kuachana, na bila kupasha kiporo wala kufikiria kupasha kiporo. I just felt so coz mambo yao (aliolewa) yalikuwa bado hayajakaa sawa, so out of huruma tu nikawa namtoa si kidogo. You can imagine ningekuwa nimezaa naye........
Watu tumeumbwa tofauti jamani
Ndo maana nimesema kama hawapashi kiporo hakuna ubaya wo wote