Hivi hakunaga mipaka eeeh?

Hivi hakunaga mipaka eeeh?

Hao wengine hata kama sio wake lakini ni mama mmoja na huyo mzazi mwenzake, kwahiyo jamaa anatoa support kwa hao wengine pia ili kuleta usawa na hao wengine wajione sawa na mwenzao vinginevyo makuzi yao wote hata huyo wa kwake mmoja hayatokuwa mazuri kutokana na watoto wa mama mmoja wanakuwa hawalingani katika mfumo wa maisha (kama jamaa lina uwezo na familia yake linahudumia mother house asihuzunike na ndio maana wamama wanaojielewa humwambia huyo mtoto amlete akae kwake ili kile kinachokwenda nje kiletwe ndani ila kwa kutokupenda kulea watoto wa kambo yote hayo hutokea.

Changamoto za kuachana kwa watu ambao hawaoana ni zile zile sema wengine ndo hivyo tena unakuta wameachana huku wakiwa na mtoto wakati hawa wengine wanakuwa hawana mtoto lakini ukichunguza sababu ni zilezile
 
Ni zaidi ya kusaidia, kwani si baba yao yupo kwanini ukambebee majukumu yake....
Okay na huko kununua hadi friji ni kumfurahisha mtoto pia? Au friji ya kuhifadhia maziwa ya mtoto Hahaha ncheke mie

Baba yao yupo lakini hana kitu
Friji ni kama bakuli siku hizi...inahitajika tu ikibidi isaidiwe
 
Kusaidia ni sawa,mfano huwezi ukapeleka nguo za mwanao peke ake wakati kuna watoto wengine, utapeleka nguo, vitu vitu vya watoto, msosi ndio hadi na ada???
Okay na huyo jamaa anaepeleka hadi friji?
Mtoto nae anywe juice ya baridi kama wenzake wa main house hivyo inabidi ubebe na yeye awe kama wenzake, akienda mjini ananunua AZAM icecream na kutupia kwenye friji (kwenye msafara wa mamba na kenge wapo pia na ndo maana hawa watoto wengine wanaishi kwa mgongo wa ndugu yao yaani hapo ni sawa na mtoto wako umemsomesha au umempa mtaji akaja akafanikiwa na kutoa sehemu ya mali yake kwa ndugu zake wengine, issue hapo kama anapeleka friji kule alafu kwake hakuna friji hapo kidogo kuna cha kuhoji)
 
Teh kwa huduma hizi, siku ya kwenda kumuona mtoto ataachaje kupasha?

Aah gelofriend unawasingizia tu bana, baby daddy's hawapashagi uporo wala kuchemsha chai. Wana upendo tu wa agape kwa mtoto na ndugu za mtoto hapo nyumbani. Ila single mothers sasa mwee
 
Haya mambo pande zote yamepinda tu, hakuna anayefurahia mtoto wa mzazi mwenzake. So sishangai bidada kuchukia

Binafsi sioni tatizo jamaa kufanya hivyo as uchungu wa mwana........., sema kibaya ni kupasha kiporo
 
Baba yao yupo lakini hana kitu
Friji ni kama bakuli siku hizi...inahitajika tu ikibidi isaidiwe

Ni kama bakuli kwa wewe ulienazo, huyo jamaa hapo kajichanga changa ndo maana anasema hana kitu, kuna sababu gani kujinyima kasi hicho? Ingekua kajinyima hivo kalipa labda ada, au labda matibabu, hata matumizi tu ya mtoto inaingi akilini ila hii mmmh..... For this nmeanza kuwaelewa watu wasiotaka kuolewa/kuoa mtu mwenye mtoto ni kama vile uke /ume wenza
 
Haya mambo pande zote yamepinda tu, hakuna anayefurahia mtoto wa mzazi mwenzake. So sishangai bidada kuchukia

Binafsi sioni tatizo jamaa kufanya hivyo as uchungu wa mwana........., sema kibaya ni kupasha kiporo

Wala hachukii, ila hizo huduma hadi za watoto wa kufikia wa mme tena baba yao yupo mweh ngumu kwakweli....
 
Si ni ex wake sista, so anaijua tangu hapo

Weee usinitanie, mmeachana ana mtoto mmoja leo ana watoto 3, umejuaje kama halijabadilika? . Kama vipi si umpe hela atanunua mwenyewe. Hivi ukute tu mkeo kamnunulia mwanaume mwingine boxer utaelewa?
 
Kama una complain mtu kumsaidia mtu anayemjua itakuwaje kwa mtu asiyemjua

leo ntaonekanaje nna roho mbaya kwa watu wenye watoto wao lol.....
Sio mbaya kusaidia, unaposema msaada ni kama unacho unatoa kama hauna basi,ila kwa hawa jamaa ni zaidi ya msaada
 
Wenye nyumbani wengine hawaruhusu hayo anaamua kumlea mtoto kupunguza kama sio kusitisha mawasiliano
 
Weee usinitanie, mmeachana ana mtoto mmoja leo ana watoto 3, umejuaje kama halijabadilika? . Kama vipi si umpe hela atanunua mwenyewe. Hivi ukute tu mkeo kamnunulia mwanaume mwingine boxer utaelewa?

Ampe hela ya bra???? Uuuuuwiiiiii
 
Huyo wa kwanza...Analipa ada za hao wengine????mmmh napapuchi atakuwa anapiga. Hao wengine hawana baba???

nae anapiga

Kiufupi wasikuchoshe..... hana uhusiano na mipaka...ni kuwa wanagonga ndio maana wamebeba majukumu yasiyowahusu
 
Ndio alipe ada????

Ingeeleweka kwenye chakula ofcourse wale wote...ada????


usipohudumia na wale wengie wasio wako mtoto wako hatapata care unazotaka ukituma ya wako tu yule itabid aigawanye kwa wote wale ambacho wewe hutaki mwanao aishi kwa tabu so inabid kuhudumia wote!!!! hakuna mwanaume ataekubali amchukue mtoto wake aje kwa mkewe weeeeee atateseka si kawaida ndo maana jamaa anaona bora ajikaze tu kuhudumia kule kule kwa sababu yuko kwa mama ake!!!
 
Hamna cha mlete akae hapa wala nini....mwanaume wa hivyo mwongezee majukumu tu...... atajipanga


Mmh em ngoja tusikie leo kutoka kwa wababa zaidi. Maana kwa wanawake jinsi tulivyo hilo somo ni gumu sana, tutakimbilia tu kusema " mlete akae hapahapa home" (ili mume apunguze huduma za nje) .Katoto kakifika sasa mwee, ni watoto wachache watakaokuwa salama
 
Back
Top Bottom