leo ntaonekanaje nna roho mbaya kwa watu wenye watoto wao lol.....
Sio mbaya kusaidia, unaposema msaada ni kama unacho unatoa kama hauna basi,ila kwa hawa jamaa ni zaidi ya msaada
Kumsaidia mwanao tu huku wadogo zake wana shida ni kuwaumiza watoto kisaikolojia
ukisadia saidia watoto wote wanaocheza na mwanao
wakifurahi wote na mwanao atafurahi....
Ampe hela ya bra???? Uuuuuwiiiiii
Ni zaidi ya kusaidia, kwani si baba yao yupo kwanini ukambebee majukumu yake....
Okay na huko kununua hadi friji ni kumfurahisha mtoto pia? Au friji ya kuhifadhia maziwa ya mtoto Hahaha ncheke mie
Hao wengine hata kama sio wake lakini ni mama mmoja na huyo mzazi mwenzake, kwahiyo jamaa anatoa support kwa hao wengine pia ili kuleta usawa na hao wengine wajione sawa na mwenzao vinginevyo makuzi yao wote hata huyo wa kwake mmoja hayatokuwa mazuri kutokana na watoto wa mama mmoja wanakuwa hawalingani katika mfumo wa maisha (kama jamaa lina uwezo na familia yake linahudumia mother house asihuzunike na ndio maana wamama wanaojielewa humwambia huyo mtoto amlete akae kwake ili kile kinachokwenda nje kiletwe ndani ila kwa kutokupenda kulea watoto wa kambo yote hayo hutokea.
Changamoto za kuachana kwa watu ambao hawaoana ni zile zile sema wengine ndo hivyo tena unakuta wameachana huku wakiwa na mtoto wakati hawa wengine wanakuwa hawana mtoto lakini ukichunguza sababu ni zilezile
Baba yao yupo lakini hana kitu
Friji ni kama bakuli siku hizi...inahitajika tu ikibidi isaidiwe
Ni kama bakuli kwa wewe ulienazo, huyo jamaa hapo kajichanga changa ndo maana anasema hana kitu, kuna sababu gani kujinyima kasi hicho? Ingekua kajinyima hivo kalipa labda ada, au labda matibabu, hata matumizi tu ya mtoto inaingi akilini ila hii mmmh..... For this nmeanza kuwaelewa watu wasiotaka kuolewa/kuoa mtu mwenye mtoto ni kama vile uke /ume wenza
Wala hachukii, ila hizo huduma hadi za watoto wa kufikia wa mme tena baba yao yupo mweh ngumu kwakweli....
Hamna cha mlete akae hapa wala nini....mwanaume wa hivyo mwongezee majukumu tu...... atajipanga
Huyo wa kwanza...Analipa ada za hao wengine????mmmh napapuchi atakuwa anapiga. Hao wengine hawana baba???
nae anapiga
Kiufupi wasikuchoshe..... hana uhusiano na mipaka...ni kuwa wanagonga ndio maana wamebeba majukumu yasiyowahusu
Hahaha reporter nimesema wanawake wengi watakimbilia kusema bora tu mtoto aje akae hapo home ili tu hela zisiende nje na yale mawasiliano yatakuwepo but sio kama ambavyo baba anafunga safari Peke yake kwenda kumuona mwanae huko. Wakati mwingine yale mawasiliano baina yao ndo yanaumiza zaidi na sio hata hela.
Kumuongezea majukumu utamuongezea but yule ni mwanae so atajibana tu matumizi atatoa. Hujamsoma huyo mwingine kajitutumua kununua friji amebaki na mfulio. Unadhani majukumu hayajambana?
Haina shida kama uwezo upo, usikute wao maisha hayajakaa sawa
Ujue muelewe kuna wanaume wana huruma sana, so kumsaidia familia ya ex wako siyo ishu kabisa kama uwezo upo. Ofcourse pia inategemea na mlivyoachana
On a personal level, niliwahi kumsaidia ex wangu sana tu na kwa muda mrefu tu (nadhani 4yrs mfululizo) baada ya kuachana, na bila kupasha kiporo wala kufikiria kupasha kiporo. I just felt so coz mambo yao (aliolewa) yalikuwa bado hayajakaa sawa, so out of huruma tu nikawa namtoa si kidogo. You can imagine ningekuwa nimezaa naye........
Watu tumeumbwa tofauti jamani
Ndo maana nimesema kama hawapashi kiporo hakuna ubaya wo wote
Unapenda kuguess sana, sina mtoto mbona au haturusiwi
Ni wanao pia, by association. Wanasema, it ain't never trickin if you got it. Na kutoa ni moyo.Utaratibu kwa mwanao, utaratibu upi tena kwa wanao wa kambo
Haina shida kama uwezo upo, usikute wao maisha hayajakaa sawa
Ujue muelewe kuna wanaume wana huruma sana, so kumsaidia familia ya ex wako siyo ishu kabisa kama uwezo upo. Ofcourse pia inategemea na mlivyoachana
On a personal level, niliwahi kumsaidia ex wangu sana tu na kwa muda mrefu tu (nadhani 4yrs mfululizo) baada ya kuachana, na bila kupasha kiporo wala kufikiria kupasha kiporo. I just felt so coz mambo yao (aliolewa) yalikuwa bado hayajakaa sawa, so out of huruma tu nikawa namtoa si kidogo. You can imagine ningekuwa nimezaa naye........
Watu tumeumbwa tofauti jamani
Ndo maana nimesema kama hawapashi kiporo hakuna ubaya wo wote
Yaani nyinyi siwaelewi kabisa...
Mambo mengine magumu sana kumeza aisee........
Halafu wanaume wamekuja kutetea hizi figisufigisu
Mie nimeshibdwa kuelewa kwa kweli
Hapo kwenye majukumu nakwambia mwanamke hata chumvi asinunue ili ajue kujipigapiga vizuri kama alivyojipigapiga kununua friji..
Ni wanao pia, by association. Wanasema, it ain't never trickin if you got it. Na kutoa ni moyo.
Besides, unataka kumfundisha mwanao kuhusu upendo na kutokuwa m'binafsi. There's a perfect platform.
Hahaha haya mambo ni kuomba tu yasikukute. Hutonunua hata chumvi but mwanae atamtunza tu
Lazima waje watetee ila ingekuwa single mother hapa, tena baba mtoto wako bado yupo hai, kama hujitambui unaweza kumuombea mabaya. Ndo waelewe kuwa ubinafsi si mzuri, single mothers nao wana haki ya kulea watoto wao kwenye ndoa zao kama wenyewe wanavyolea hadi watoto wa kambo wa baby mama zao