Hivi hakunaga mipaka eeeh?

Weee usinitanie, mmeachana ana mtoto mmoja leo ana watoto 3, umejuaje kama halijabadilika? . Kama vipi si umpe hela atanunua mwenyewe. Hivi ukute tu mkeo kamnunulia mwanaume mwingine boxer utaelewa?

Mmh basi sawa nimekuelewa sista

Ila kama nilivyosema hapo awali, haya mambo ni magumu kote kote, we tend to do things for granted really
 
Heheheh mito bana

My wife wakomakiamua kumsaidia ex flat screen utachukuliaje???
BADILI TABIA usinisome nusu nusu

Nimesema hivi haya mambo yana ukakasi kote kote, ila tu tunafanyaga for granted
Ni ile notion ya kupasha kiporo ndo inatusumbua, lakini kama haipo noho shida kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Sometimes inategemea na mazingira ya mimba huenda binti kwa kubeba mimba kakosa fursa nyingi na jamaa anajifeel guilt hivyo itambidi afanye kila awezalo kumfariji huyo binti

Oooh sasa hapo huyo ni mzazi mwenzio au ni mkeo pia?
 

Wajione sawa kivipi, sio yatima baba yao yupo....
 
Ndio alipe ada????

Ingeeleweka kwenye chakula ofcourse wale wote...ada????

Ada yenyewe wanakabidhiana wawili, au kutumiana bank sa sijui inaletaje usawa kwa watoto....aache kuweka usawa kwenye mambo mengine akaweke kwenye ada mmh
 

Huruma nyingine ni shida, ukapeleke furaha huko uendako mkeo ndani anasikitika heri uhamie tu huko huko
 
Mmh basi sawa nimekuelewa sista

Ila kama nilivyosema hapo awali, haya mambo ni magumu kote kote, we tend to do things for granted really

Hahaha ngumu kumesa eeh. Hizi Vitu sikia tu kwa jirani
 

Kila mtu ana namna yake anavoishi ila mie naonaga sio sawa wanandoa kuanza kusema hizo ni hela za mme atumie atakavyo ndo hivo ataishia kununua friji na vingine apeleke ajuako yeye, namie nkisema zangu ni zangu ninunue mawigi tutatafutana.....mnaishi kwenye nyumba ya kupanga huko kujikamua kupeleka assets somewhere na ada ni heri ajikamue ajenge ahamie kwake, ahudumie ila huduma ziwe na mipaka
 

Hahaha yani wewe ni kichwa ujue, hili bonge la fursa. Bahati mbaya wewe limeshakupita. Imagine umepiga totoz 3 baba tofauti afu kila mmoja analipa ada za watoto wote. Huyu kaleta friji, yule flat screen mwingine gari kabisa. Looh raha ilioje
 
Teh my kaka itabidi tuongee kwa herufi kubwa, kumbe ndo una huruma hivi. Mie tena dada ako ndo utanihurumia vizuri mweee

Mi nina huruma kweli dadaangu wala si utani

To give you more hints: hii ni another factor why siwezi kucheat (ukiacha ile factor mama lakini), coz naona nitajiongezea mzigo bure kwa huruma zangu, nikila mzigo na kukimbia tamuumiza mtima bure daaah huruma sana, not fair at all. Na mnavojitoa sasa daah hadi huruma aiseee. Sitaki dhambi wala laana ya mwanamke kwa kweli, it's much better i stay hivi hivi na mmoja
 
Hahaha yani wewe ni kichwa ujue, hili bonge la fursa. Bahati mbaya wewe limeshakupita. Imagine umepiga totoz 3 baba tofauti afu kila mmoja analipa ada za watoto wote. Huyu kaleta friji, yule flat screen mwingine gari kabisa. Looh raha ilioje

Gelofriend usiache hii fursa ikupite, inalipa zaidi ya tigo pesa
 
Huruma nyingine ni shida, ukapeleke furaha huko uendako mkeo ndani anasikitika heri uhamie tu huko huko

Na wewe Evelyn Salt naona unanisoma nusu nusu kama BADILI TABIA, wapi nimesema hivyo? (hapo kwa red)
Hebu rudi unisome vizuri tangu mwanzo utanielewa vizuri tu
 
Last edited by a moderator:

Daah hivi wanaume wa hivi mnapatikanaga wapi jamani mweee. Kuna watu hawana hela, home ni apeche alolo lakini suruali miguuni, yani hazina zipu wala vishikizo. Uendelee tu hivyo hivyo kaka angu mweee
 
Hahaha ngumu kumesa eeh. Hizi Vitu sikia tu kwa jirani

Ofcoure ni ngumu kumesa sista, hata mimi naongea tu hapa lakini honestly nikisikia mamsapu anafanya hivyo naumia balaaa

I mean, najaribu kuwa open tu kuwa some people are happy to provide all those kind of stuff, with no string attached, ni kwamba tu ni ex wake, and if you recall those great memories unamuonea huruma baaas!! sasa ukiongezea na kuzaa naye ndo kabisaaaaaa huruma inaongezeka, na sense of responsibility inaongezeka vile vile
 

Mwayego...teh nikiusikia huu msemo huwa bakumbuka kwetu lol!!
 

Nimekuelewa vizuri my kaka, Ukifanya wewe utaona ni sawa tu kwa sababu una nia ya dhati kufanya hivyo. But akifanya mwenzako kumuelewa ni kazi aisee
 
hahahahaha ukigusa maslahi yao lazima wawe wapole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…